Naibu Waziri: Suala ya wazalishaji mafuta ya kula kufutiwa 'VAT' linahitaji wataalamu

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande amesema Serikali inafanya tathmini ya hatua mbalimbali zinazopaswa kuchukuliwa kwa kila Sekta ili kukabiliana na athari zinazotokana na Hali ya Kisiasa ikiwemo Vita ya Urusi na Ukraine

Ameeleza hayo baada ya Mbunge Nancy Hassan Nyalusi kuhoji ni hatua gani zinachukuliwa kukabiliana na athari za kiuchumi zinazotokana na Hali ya Kisiasa Duniani

Aidha, Mbunge huyo amehoji ikiwa Serikali haioni umuhimu wa kufuta VAT kwa Wazalishaji wa Mafuta ya Kula ndani ya Nchi ambapo Naibu Waziri amesema, "Suala hili linahitaji Wataalamu"
 
Back
Top Bottom