Ilemela, Mwanza: Afisa mtendaji kata ya Pasiyansi alalamikiwa na wataalamu

howardlite

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
234
368
Kuna malalamiko kutoka kwa wataalamu wa kata ya Pasiyansi Ilemela Mwanza,kuhusu afisa mtendaji kata anaitwa Betty,alihamishwa kutoka kata ya Nyamanoro kuja Pasiyansi.

Alikotoka wataalamu wote chini yake walikuwa wanawake na alipohamishiwa(Pasiansi)pia wataalamu wote ni wanawake.

Hakuna gender balance,taarifa zilizopo ni mpango mkakati wa kuwamonopoly wataalamu hao wa kike,na ameshagombana nao wote mpaka sasa.

Zipo taarifa kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na afisa utumishi wa Ilemela hivyo kutumia nafasi yake kwa maslahi ya uhusiano wao.

Mtaalamu wa mifugo alikuwa anaumwa akihisi ni maleria akamuomba ruhusu kwenda hospitali, mtendaji alimjibu bila hiana "maleria itakucost".

Yeye ni mchelewaji sana na sio mtu wa kukaa ofisini, lakini analazimisha wataalamu wabaki ofisini na hata wenye kazi za field zaidi anawalazimisha wabaki ofisini.

Mkurugenzi wa Ilemela najua hapa JF taarifa zinafika mpaka kwa DSO,mkuu wa wilaya nk,baba huyu mtendaji amekuwa na vitisho kwa watendaji,kiburi na haonyeshi sifa kama kiungo muhimu kwa kata,ana mgogoro pia na Diwani wa kata usioisha.

Nafikiri ni vizuri asaidiwe
anaharibu civil servant.
 
Achaa majungu mtumishiii,umeshindwa kumwambia kwenye vikao vyenu vya ndani unakujaa kumuanika huku.fanya kazii achaa kutafta sababuu mtaalamu wa mifugo.malaria ita kucost kweli
 
Umeandika kishabiki sana ndugu,hauna research unaongea from vacuum,labda ni kwambie tu kwa hekima ni vizuri ungekaa kimya maana hujui wanachopitia wenzio,na mimi nimeshauri tu.Ni vizuri uwe na heshima pia,mimi sio mtumishi labda nikwambie uelewe.Fuatilia threads nimewahi kuandika karibuni you will quit this non sense.
 
Wewe utakuwa diwani au kibaraka wa diwani.

Kaeni ofisini na sio kwenda kudanga muda wa kazi na kukusanya nyama machnjion.
 
All in all najua facts ndio msingi wa maamuzi na sisi sote tuna jukumu la kusaidiana ili majukumu ya wengine yasikwame,sina interest kwenye hili lakini kama raia nimeomba asaidiwe(asaidiwe) ni lugha rahisi sana tusiwe na negative perceptions
 
Dah, yani utendaji kata tu unafanya mtu ananyanyua mabega na kuonea wenzake. Siku zote vyeo ni dhamana, Leo kipo kesho hakipo.
 
Kuna malalamiko kutoka kwa wataalamu wa kata ya Pasiyansi Ilemela Mwanza,kuhusu afisa mtendaji kata anaitwa Betty,alihamishwa kutoka kata ya Nyamanoro kuja Pasiyansi.

Alikotoka wataalamu wote chini yake walikuwa wanawake na alipohamishiwa(Pasiansi)pia wataalamu wote ni wanawake.

Hakuna gender balance,taarifa zilizopo ni mpango mkakati wa kuwamonopoly wataalamu hao wa kike,na ameshagombana nao wote mpaka sasa.

Zipo taarifa kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na afisa utumishi wa Ilemela hivyo kutumia nafasi yake kwa maslahi ya uhusiano wao.

Mtaalamu wa mifugo alikuwa anaumwa akihisi ni maleria akamuomba ruhusu kwenda hospitali, mtendaji alimjibu bila hiana "maleria itakucost".

Yeye ni mchelewaji sana na sio mtu wa kukaa ofisini, lakini analazimisha wataalamu wabaki ofisini na hata wenye kazi za field zaidi anawalazimisha wabaki ofisini.

Mkurugenzi wa Ilemela najua hapa JF taarifa zinafika mpaka kwa DSO,mkuu wa wilaya nk,baba huyu mtendaji amekuwa na vitisho kwa watendaji,kiburi na haonyeshi sifa kama kiungo muhimu kwa kata,ana mgogoro pia na Diwani wa kata usioisha.

Nafikiri ni vizuri asaidiwe
anaharibu civil servant.
Kuna malalamiko kutoka kwa wataalamu wa kata ya Pasiyansi Ilemela Mwanza,kuhusu afisa mtendaji kata anaitwa Betty,alihamishwa kutoka kata ya Nyamanoro kuja Pasiyansi.

Alikotoka wataalamu wote chini yake walikuwa wanawake na alipohamishiwa(Pasiansi)pia wataalamu wote ni wanawake.

Hakuna gender balance,taarifa zilizopo ni mpango mkakati wa kuwamonopoly wataalamu hao wa kike,na ameshagombana nao wote mpaka sasa.

Zipo taarifa kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na afisa utumishi wa Ilemela hivyo kutumia nafasi yake kwa maslahi ya uhusiano wao.

Mtaalamu wa mifugo alikuwa anaumwa akihisi ni maleria akamuomba ruhusu kwenda hospitali, mtendaji alimjibu bila hiana "maleria itakucost".

Yeye ni mchelewaji sana na sio mtu wa kukaa ofisini, lakini analazimisha wataalamu wabaki ofisini na hata wenye kazi za field zaidi anawalazimisha wabaki ofisini.

Mkurugenzi wa Ilemela najua hapa JF taarifa zinafika mpaka kwa DSO,mkuu wa wilaya nk,baba huyu mtendaji amekuwa na vitisho kwa watendaji,kiburi na haonyeshi sifa kama kiungo muhimu kwa kata,ana mgogoro pia na Diwani wa kata usioisha.

Nafikiri ni vizuri asaidiwe
anaharibu civil servant.
Acha Majungu Mtumishi .huna weledi wa kazi kwani hujui pakupeleka taarifa yaani wewe unapenda kupokea Mshahara tu kazi hutaki kila siku unamatatizo hakuna wa kukuvumilia, Mlizoea michongo na dili dili na Wizi Mtendaji mpya kang'oa mtandao wote sasa mnaweka Majungu .Yeye hakai Ofisi anakwenda field unalalamika. Kingine unataka asiwe na Mahusiano ya kimapenzi ? Kama ulikosea kuchagua hapo wewe wenzako wamechagua penye mafuta acha wafaidi acha majungu. fanya kazi.Wivu wa kipuuzi tu na Majungu
 
Achaa majungu mtumishiii,umeshindwa kumwambia kwenye vikao vyenu vya ndani unakujaa kumuanika huku.fanya kazii achaa kutafta sababuu mtaalamu wa mifugo.malaria ita kucost kweli
khaaaaah
 
Acha Majungu Mtumishi .huna weledi wa kazi kwani hujui pakupeleka taarifa yaani wewe unapenda kupokea Mshahara tu kazi hutaki kila siku unamatatizo hakuna wa kukuvumilia, Mlizoea michongo na dili dili na Wizi Mtendaji mpya kang'oa mtandao wote sasa mnaweka Majungu .Yeye hakai Ofisi anakwenda field unalalamika. Kingine unataka asiwe na Mahusiano ya kimapenzi ? Kama ulikosea kuchagua hapo wewe wenzako wamechagua penye mafuta acha wafaidi acha majungu. fanya kazi.Wivu wa kipuuzi tu na Majungu
Umeandika kwa hasira sana,unaonyesha vile ulivyo.Hili jukwaa sio la mipasho,ni moja ya sehemu watu wanatumia na kutatua changamoto zilizopo kwenye jamii.Ni akili ndogo tu ndio hukurupuka kufikiri kama unavyofikiri ndugu,kunywa maji.Huna research za unachoandika tofauti na kilichoandikwa.Usijustify kitu usichokijua,kwani umetajwa kwenye hii thread?Au...
 
Kwani wewe hutaki asaidiwe ili awe mtumishi mzuri?Wewe ni boss wake?Halafu ni ujinga kufikiri kwa namna ileile moja kwamba anaeweza kusema kero za watumishi ni lazima awe mtumishi, very stupid.Tuko kwenye jamii,usipojenga nidhamu ya kujikosoa na kukosoana kwa nidhamu unakuwa mtumwa jamaa
 
Mke wangu Mzuri Bet asante kwa kunizalia watoto wazuri watatu (Joe,Jocelyne na Jaylene).Mimi mme wako Josia nakupenda sana,Nawaomba Watu wa Pasiyansi acheni kumsumbua na kumpakazia mambo ya uwongo Mke wangu Bet.Ni mtu mpole na mkimya mda kuwajibu mkewangu hana msimsumbue vumilieni soon atahama hapo.Bet piga kazi my love.
 
Back
Top Bottom