Reading without reflection is like eating without digestion.
Wanaojiita wasomi wengi ni tatizo, nilimaliza DUCE mwaka 2016 nikaanza kutembea na cheti kudhalilika kuomba kazi, nikalaumu sana serikali kwa kusitisha ajira, kimsingi mikaa nikajiuliza hivi kweli kila atakae hitimu kwa wingi huu wa...