Ni makosa makubwa kuwashutumu Wananchi kuwa wanachukizwa na matendo ya Wasanii kujihusisha na Siasa
Swala la kujihusisha na Siasa ama Chama cha Siasa ni haki ya kila Mwananchi na Mwananchi hapangiwi au kulazimishwa kuchagua Chama cha Siasa na wala sio kosa Kisheria au Kikatiba kuchagua chama...
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.
Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea...
Huyu dogo umaskini ulikuwa haki yake na haki yake kabisa.
Kukaa kimya watu wakufikirie bado unajikosha mbele ya maumivu ya watu walionyanyasika kwa kila aina ya maumivu.
Kwa sasa dunia nzima ishawakataa mkaona kenya ni karibu,kumbe ghana nayo,ikaja naijeria na nchi nyengine.
We si ndo ulikuwa...
Unajua asilimia kubwa wengi tumezoea kuona mambo mengine kwenye jamii.
Ila kihoro kipo tena kwa sasa kina wakumba watu ambao hawa kutegemea kuwa watafika hapo.
Kihoro ni yale matendo uliyofanya au kuzania wewe ni bora mwisho wa siku unajikuta wewe sio bora na kukuacha umeshikwa mdomo wazi na...
Kama tumeamua kuisafisha nchi hawa watu ni hatari zaidi ya wasanii. Wasanii wao wanatafuta pesa kwa njia yeyote hata kwa kuungana na wauaji they don't care kulingana na shule zao za hapa na pale.
Wachungaji wao (sio wote) wengi wamesoma ili watapeli watu, mbali ya kutafuta pesa kwa ushirikina...
Ikiwa Chama CHETU kilipata kura Mil 32
Maana yake hawa ni watu wazima karibia nusu ya watz wote
Ikiwa Kazi ya mziki n.k ni ushawishi na uliwashawishi watu mil 32 je hawatoshi kusapoti muziki wako
Naitafakari hoja ya Majizo.!
Wasanii jambo lao limefanikiwa kwa kiasi kikubwa, na yule mtu wao ameingia madarakani na tarehe 9 dec wameona wamepata ushindi mwingine.
Hivyo kwa sasa watakuja na kila aina ya gia kuwalaghai ili muendelee kuwasapoti cha kisingizio eti "pale walikuwa kazini".
Sasa kama walishachagua upande...
Wasanii walishiriki kampeni upande ambao ulipata kura mil. 31, ushindi mkubwa kabisa huu!.
Sasa hawa watu ambao ni nusu ya watanzania kwanini wasiwasapoti? Kama waliweza kwenda kupiga kura hatika tension ile wanashindwa kuingia youtube kuwasapoti?
Hakika uongo una lifespan ndogo sana,
Huyu...
Hamjambo wote!
1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin.
2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
Mkurugenzi Mkuu wa EFM na TVE ambaye pia ni mdau mkubwa wa Muziki haswa wa Singeli, Majizzo amewaomba Watanzania kufuta kauli na Msimamo wa kugomea kusapoti Wasanii wa Tanzania kwa sababu eti walijihusisha na Siasa kwani wale ni watoto wa kimasikini ambao wanapambania ndoto zao hivyo kuacha...
Wasanii wengi hapa bongo wana ma sponsors ambao pia husimama kama mameneja.
Iko hivi, wasanii wengi hapa bongo wamejibweteka sana hawana kazi nyingine zaidi ya muziki na wengi wanategemea shows kuendesha maisha yao.
Kula ,kunywa ,kuvaa na kulipa kodi ya nyumbakwa wasanii huwa wanawategemea...
Sio tu kumekuwa na Kasumba ya Cancel Culture; bali kutegemea baadhi ya watu kuwa malaika na kuwalaumu, badala ya lawama hizo kuzipeleka kwa mashetani tunaowalipa...
Binafsi lawama kwa wasanii tazipeleka pale wakitoa kazi mbovu (sitaisikiliza) na sio kuangalia msimamo wao katika jamii au busara...
Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi.
Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube tukasikilize ushuzi, machawa Pro max, show za ndani zimebuma na bado wananchi hatutasiliza nyimbo zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.