wasanii

  1. Think2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii fanyeni kazi msitusumbue wananchi tuko bize kulikomboa taifa

    Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi. Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube tukasikilize ushuzi, machawa Pro max, show za ndani zimebuma na bado wananchi hatutasiliza nyimbo zenu...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z Tanganyika: Phase ya kwanza ilikuwa wasanii, wameshamalizana nao

    Ni kilio cha wasanii kila kona.. Wamekumbuka shuka kumeshakucha.. ! Hakuna drama tena Hakuna new followers tens Hata wanaotoa nyimbo mpya hazi hit tena! Ni kilio na mahangaiko.. Gen Z wameshamalizana nao! Phase 2 ni wanasiasa wa ccm..Top to bottom Watatengwa kwenye shida na raha Watanyimwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii wa Tanzania wanapitia wakati mgumu sana, wameahirisha show za ndani, nyimbo zimedoda mitandaoni

    Wakuu Nimekutana na video hizi mbili za watangazaji wenye nguvu ya ushawishi kwenye upande wa burudani hapa Tanzania, wakieleza hali ngumu wanayoipitia wasanii wa Tanzania hadi kufikia hatua ya ku-cancel show za ndani, kuahirisha kutoa albamu, na hata nyimbo zao walizotoa zimedoda huko...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

    Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena. Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu Hakuna trendings tena mitandaoni Hakuna 'new subscribers' Hakuna interviews tena...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kuna kundi kubwa la Watanzania hawajielewi, naona wameanza kuwashobokea wasanii tena

    Yani kuna watu kukaza hawawezi yani yapo yapo tu kama mafala. Ndio maana wasanii wanajiona miungu watu maana mmezidi kuwashobokea . Kuna kampeni ilipita tena ilienda vizuri na ikaanza kuonesha muitikio chanya , kampeni hiyo ilihusu kwanza kuwa unfollow wasanii na machawa wote wa CCM , kuto...
  7. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Mwandambo: Diamond, huwezi kuwaita wasanii wenzio "kenge", haka ka kijana ni laana!

  8. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Comedian Chenjeu: Naombeni hata tangazo la 50000. Nakufa njaa

    Nimepita page za wachekeshaji mtandaoni maarufu kama COMEDIAN WA BONGO , Jamaa wanaomba matangazo hata ya Tsh 50,000/= na kumaliza kwa kusema "NJAA ITATUUA" Mkawasapoti wapate unga na dagaa mchele sisi ni wamoja
  9. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa filamu, waandishi wa hadithi, Director,wachekeshi, Hili linawahusu

    kama kichwa cha habari kisemavyo tukutane hapa👇👇🎥KIBAO-CHA-SANAA 🎬🍿 Tujenge historia ya bongo movie
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnawadharau kuwa wana elimu duni halafu hapohapo mnataka wasanii wawasemee... maajabu

    Inasikitisha sana kuona kuna kundi kubwa la wapumbavu wanaowaandama hawa vijana wa kitanzania walioamua kutumia vipaji vyao kujipatia kipato kihalali. Wasanii wanajipambania ila wajinga wengi wanataka hawa vijana wajihusishe na siasa zao za majitaka. Mbaya zaidi kila siku ni kuwatukana kuwa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ndaro: Wasanii tulichowakosea ni nini? anaejua kosa langu aseme tumewakosea nini

    Baada ya lawama nyingi kutoka kwa wananchi zikiwalenga wasanii na watu maarufu kwa kutosimama na raia wanapopambania utawala wa haki badala yake wasanii wamekuwa upande wa watawala na kudidimiza juhudi za raia. Kuanzia Oktoba 29 yamefanyika mauaji makubwa ya raia lakini cha kushangaza wasanii...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Imegundulika WASANII Watanzania Wamepangwa Kujaribu Kutoa Pole na kujifanya wameumizwa !! Bora Mngekaa Kimya

    Chochote kinachofanywa na Mtanzania yoyote ilimradi kisukumwe na Watekaji/Wauaji wa Watanzania , kitajulikana . Imegundulika, Baada ya Kuona hawatoweza kuwahakikishia Usalama wao na Mali zao dhidi ya Adhabu kuunga MUNGU Watekaji/ Wauaji wamewapanga WASANII wajifanye wanapost wanayoendelea...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii wa Bongo Flavour Wakosolewa kwa Kukaa Kimya Kuhusu Mauaji ya raia wasio na hatia

    Wasanii wa Bongo Flavour wameanza kutoa pole kwa familia na watu wote waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki. Hata hivyo, ninaona ingekuwa vyema kama wasanii hawa wangetumia sauti zao kutoa nyimbo za kulaani vitendo vilivyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya raia wasiokuwa na hatia...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Wasanii wa sasa wamekuwa vyoo vya jamii na sio vioo vya jamii

    Mchungaji ashangazwa na kitendo cha wasanii wa bongofleva na bongomovie kulundikana kwenye mikutano ya siasa,adai kwasasa wamekuwa sio vioo vya jamii tena bali ni vyoo vya jamii. Neno moja kwake Soma pia: Kwa nini wasanii na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi?
  15. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wapinzani hawawasapoti wasanii wanaowaunga Mkono?

    Ni swali tu nauliza, Mara nyingi sana wapinzani wanalaumu wasanii kuwa upande wa CCM ambao ni watesi wao lakini hao wasanii ndio wanapewa attention kubwa sana wakipost chochote kwenye mitandao yao wanawapa sapoti. Ishu ni kwamba wale wasanii ambao wanawaunga Mkono mfano kina nay wa mitego...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tamaa za muda mfupi zinaondoa utu kwa wasanii wengi na machawa wa CCM na yule mama yao

    Kipindi hiki cha uchaguzi pesa zinamwagwa si mchezo ili kuhakikisha mama yule anapita kwenye uchaguzi mkuu japo hakuna anayeshindana naye. Utu umewatoka wasanii na machawa wa ccm kujifanya hawaoni yanayoendelea nchini, damu za watu zinavyozidi kumwagika wao ndio kwaaaanza wanashangilia na...
  17. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kama Mlaji siwaelewi Wasanii wanaowabagua kina AI; waache tuchague wenyewe; Case in Point: Emily Blunt among Hollywood stars outraged over 'AI actor'

    Binafsi nadhani burudani mwisho wa siku ipo kuburudisha na sio kuhakikisha mburudishaji mmoja anapata kiasi gani au kukosa kutokana na ujio wa hiki au kile; Ofcourse pale AI inapojifanya mtu fulani bila kutoa Credit nitaelewa muhusika akilalamika ila sio Waburudishaji kuja juu eti hawa AI...
  18. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Maxence Melo kwa umakini utaelewa kwanini wasanii wetu wako jinsi walivo

    Wiki iliyopita ya mwezi huu wa September, ndugu Max Melo alitoa public lecture kwa watu wa TLS. Alielezea kwa ufasaha sana madhira aliyoyapata kwa kusimamia uhuru wa private information na JF kwa ujumla. Pamoja na kupewa kesi kama ugaidi 😆 na nyingine, his banking accounts were frozen...
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kumbe hadi wasanii nao wamechoka, ila ushauri wa bure msijiachie kwenye hayo magroup kuna mamluki kibao

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727 Tanzania bara 88,365 Zanzibar 8,362 Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262. Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%) Tanzia Mkoloni
  20. JF Analyst

    JamiiForums Tanzania Wasanii na watu maarufu wasiopigania maslahi ya wananchi ni wasaliti kwa raia au wabinafsi?

    Ipo kauli inayosema msanii ni kioo cha jamii, kwa sababu wanapaswa kuakisi na kuifunda jamii yao katika mstari ulionyooka katika nyanja zote. Kupitia sanaa yao wanalo jukumu la kuielimisha jamii, kukosoa na kukemea maovu, kuburudisha na kadhalika, yote ni katika kujenga jamii yenye haki, amani...
Back
Top Bottom