Imefanikiwa sana huoni wanavyohanya kuomba msamaha?Kulikuwa na movement za kichonganishi za ku unfollow wasanii na media, nguvu imekata au?
Mbna sasa mov haina nguvu naona watu wana followers mamilioniHaijaisha unataka iishe mapema hivi? Leta wasanii wako kwenye matamasha yao ya kufungua mwaka tuone.
Hata mwamposya anatafakari ni namna Gani aje na kampeni ya kuvuna pesa kutoka kwa wajinga na ULE utapeli wake wa vuka na chako
Hujaona vilio vimeanza kusikika? Followers wapo ndio wanakupa hela uliyokuwa unaipata wakati shoo hazipigwi?Mbna sasa mov haina nguvu naona watu wana followers mamilioni
Sasa mbona unaji contradict huoni kampeni inaendelea navilio vinazidi kusikika?Unapigaje show na watu wanataka kuadamana dec 9?
Kwa sababu ya vuguvugu la dec 9 ila sio kwa sababu hamna show, infact wao ndo wamecancel