wasanii

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii wa Bongo Flavour Wakosolewa kwa Kukaa Kimya Kuhusu Mauaji ya raia wasio na hatia

    Wasanii wa Bongo Flavour wameanza kutoa pole kwa familia na watu wote waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki. Hata hivyo, ninaona ingekuwa vyema kama wasanii hawa wangetumia sauti zao kutoa nyimbo za kulaani vitendo vilivyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya raia wasiokuwa na hatia...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Wasanii wa sasa wamekuwa vyoo vya jamii na sio vioo vya jamii

    Mchungaji ashangazwa na kitendo cha wasanii wa bongofleva na bongomovie kulundikana kwenye mikutano ya siasa,adai kwasasa wamekuwa sio vioo vya jamii tena bali ni vyoo vya jamii. Neno moja kwake Soma pia: Kwa nini wasanii na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi?
  3. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wapinzani hawawasapoti wasanii wanaowaunga Mkono?

    Ni swali tu nauliza, Mara nyingi sana wapinzani wanalaumu wasanii kuwa upande wa CCM ambao ni watesi wao lakini hao wasanii ndio wanapewa attention kubwa sana wakipost chochote kwenye mitandao yao wanawapa sapoti. Ishu ni kwamba wale wasanii ambao wanawaunga Mkono mfano kina nay wa mitego...
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tamaa za muda mfupi zinaondoa utu kwa wasanii wengi na machawa wa CCM na yule mama yao

    Kipindi hiki cha uchaguzi pesa zinamwagwa si mchezo ili kuhakikisha mama yule anapita kwenye uchaguzi mkuu japo hakuna anayeshindana naye. Utu umewatoka wasanii na machawa wa ccm kujifanya hawaoni yanayoendelea nchini, damu za watu zinavyozidi kumwagika wao ndio kwaaaanza wanashangilia na...
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kama Mlaji siwaelewi Wasanii wanaowabagua kina AI; waache tuchague wenyewe; Case in Point: Emily Blunt among Hollywood stars outraged over 'AI actor'

    Binafsi nadhani burudani mwisho wa siku ipo kuburudisha na sio kuhakikisha mburudishaji mmoja anapata kiasi gani au kukosa kutokana na ujio wa hiki au kile; Ofcourse pale AI inapojifanya mtu fulani bila kutoa Credit nitaelewa muhusika akilalamika ila sio Waburudishaji kuja juu eti hawa AI...
  6. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Maxence Melo kwa umakini utaelewa kwanini wasanii wetu wako jinsi walivo

    Wiki iliyopita ya mwezi huu wa September, ndugu Max Melo alitoa public lecture kwa watu wa TLS. Alielezea kwa ufasaha sana madhira aliyoyapata kwa kusimamia uhuru wa private information na JF kwa ujumla. Pamoja na kupewa kesi kama ugaidi 😆 na nyingine, his banking accounts were frozen...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kumbe hadi wasanii nao wamechoka, ila ushauri wa bure msijiachie kwenye hayo magroup kuna mamluki kibao

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727 Tanzania bara 88,365 Zanzibar 8,362 Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262. Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%) Tanzia Mkoloni
  8. JF Analyst

    JamiiForums Tanzania Wasanii na watu maarufu wasiopigania maslahi ya wananchi ni wasaliti kwa raia au wabinafsi?

    Ipo kauli inayosema msanii ni kioo cha jamii, kwa sababu wanapaswa kuakisi na kuifunda jamii yao katika mstari ulionyooka katika nyanja zote. Kupitia sanaa yao wanalo jukumu la kuielimisha jamii, kukosoa na kukemea maovu, kuburudisha na kadhalika, yote ni katika kujenga jamii yenye haki, amani...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya hivi vilabu kuwa vinawaelekeza wasanii nini wasifanye kwenye matamasha ili kutengeneza hadhi

    Niliangalia matamasha ya simba day na yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba iangalie uwezekano wa kuleta wasanii wa kimataifa kutoka nje katika Simba Day zijazo

    Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa. Simba huwa inaanza wengine wanafuata. Badala ya kuwapigia magoti hawa wasanii au kuokoteza underground, nadhani kuanzia msimu...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Content wanazopenda TCRA ni mapenzi,umbeya wa wasanii na maisha hata siku moja siawahi kuona za kuchunguza wanyama masaa 180

    Hii nchi yani anaweza msanii kukosea ndani ya siku hiyo mpaka wiki inakwenda ni mwendo wa media uchwara kudili na mada hiyo. wajifunze swahili Max kuna jamaa alikufa mara 6 sasa nasikia huyu jamaa anaweza kwenda kimataifa wanasayansi na wenye nguvu zao wakamfata.Sasa tujiulize swahili max na...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inaogopa kufunga mtandao wa instagram sababu wasanii wao wapo huko

    Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wengi Wanapambana, Sio Wavivu Tupeane Faraja na Upendo

    Haya ni maneno ya Msanii wa bongo Flavor BekaFlavor na kupostiwa na Msanii Bell9 kutokana na kile alichokisema msanii diamond juu ya vijana kufanya kazi badala ya kulalamika. "Ila kuna vitu watanzania wenye nafasi flani kabla ya kuongea au kufanya tufikilie mara mbili mbili, wasanii tupo wengi...
  14. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnawa-follow wasanii wa muziki na filamu ili iweje?

    Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa... kuna manufaa yoyote unapata mtanzania haswa kijana kumfollow msanii wa muziki ? Yani Kuna pesa unawekewa kwenye akaunti yako ama ni...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nafuta nyimbo zote za wasanii wa bongo na kuunfollow page zao

    Kama NI burudani mlishanipa imetosha kwanza audiomack yenyewe inanilia Tu GB kwenye storage yangu nataka Tu nione kama maisha yangu hayataendelea bila mziki.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

    Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
  17. veyra

    JamiiForums Tanzania Siku chama pinzani wakichukua Nchi hawa Wasanii watahama Pia?

    Sahivi wasanii karibia asilimia 85 ni CCM najaribu kuwaza tu Siku CHADEMA, CUF, ACT wakaTakeover wataendelea kuipambania CCM kama sasa? au watakuwa kwa wenye madaraka kwa wakati huo.
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hakuna uchaguzi Tanzania mwaka huu, kuna show kama za wasanii

    Hakuna uchaguzi mwaka huu itafika maonyesho haya ambayo msanii ni Mama Samia wanalipa na watalipa watu kwenda kupiga kura
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa fedha za kujenga Arena ya kisasa kwa ajili ya kuwawezesha wasanii kupata maeneo rasmi na mahususi kwa ajili ya matukio yao ya kisanii tayari zimekwisha patikana. Akizungumza...
  20. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo wengi ni waoga, watu wa kuridhika na wabinafsi pia

    Comedians wote ni CCM, bongo movie wote ni CCM,wasanii wa muziki wote ni CCM, wachezaji wa Mpira wote ni CCM makundi yote haya ni nadra kuyasikia yakikosoa mambo mabaya yonayofanywa na CCM. Masanii haya yakikaa mbele ya media utasikia Sisi ni kioo cha jamii sijui wanamaanisha jamii ipi?jamii...
Back
Top Bottom