Kwanini Watanzania hampendi kuwashangilia wasanii wenu kama mnavyoshangilia wasanii wa nje?
Davido alipokuwa akitumbuiza alipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa shabiki tofauti na wasanii wa Tanzania wanapokuwa wakitumbuiza
Ni zipi sababu za kutokuonesha ushirikiano kwa wasanii wenu wa Tanzani...
Ni kama vuguvugu limepungua, wadhalimu wanaendelea kujilia vyal, na Kama mtu hajajeruhiwa au kupoteza ndugu ndio hata hawezi kumbuka kabisa.
Wananchi wako busy kwenye challenge za wasanii.
Ni masikitiko makubwa kwa damu ya raia iliomwagwa makusudi na kwa majivuno kisha haya yakawa ndio...
Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
Wakiwa na pesa huwa wala hawawakumbuki. Wanatamba na kuonesha jinsi ambavyo wanafaidi maisha na nyie sababu wavivu mnataabika.
Daily wanapost wakila kuku, wakiwa dubai, china na ulimwenguni waki enjoy life. Wanakula maisha wanapewa na chama chakavu maishani. Wakianza kuumwa pesa zao hawataki...
Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa.
Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
"Kujibrand", "Kulinda brand" ni mambo yanayowaumiza wasanii wengi kimyakimya na baadae kuja kuumbuka vibaya mambo yanapowazidia. Wasanii wengi wanadhani "Branding" ni kuishi maisha feki ya kitapeli ili uonekane wa thamani huku ukiteketea ndani kwa ndani. Mkubwa Fella kwa sasa anaomba michango ya...
Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana huduma wala msaada wowote
Dudu baya amebainisha kuwa
1. Mkubwa Fela alifanya dhulumu nyingi na...
Moja ya jambo la kushangaza ni Msanii wa Hip-hop, Izzo Business kuachia kibao akishusha mistari kuwachana wasanii wenzake waliokuwa hawapiganii haki za wananchi badala yao walirundikana kwenye semina na kampeni za chama kimoja kama mchwa.
Badala ya kupinga vikali matukio yaliyokuwa...
Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu.
Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k
Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu.
Kuna television inaitwa Nickelodeon na ndio channel ya watoto wanayopenda sana ambayo iliibua vipaji vya waigizaji watoto wengi.
Ila...
Kitendo cha wasanii wa Tanzania kususiwa kazi zao na jamii Yao kimewaibua vijana wanaofanana na wasanii hao na kuwafanya wajikusanye pamoja ili kwenda vijijini kujaribu bahati zao za kupiga show za Chaka to chaka wakiamini hawatatambulika kama ni feki,Maeneo waliyoainisha kwenda ni Chunya...
Baada ya mgombea wa republican Donald Trump kukoswa risasi katika kampeni zake, wimbo wa 50cent MENY MEN ulitrend na ikawa anthem kwenye kampeni zilizofuata baada ya tukio lile.
Kampeni zilipofika Newyork, team ya kampeni wakamuita 50cent aje kupafomu kwenye kampeni hizo.
Chama cha Trump...
Chidi Benz - Madawa ya kulevya
Ray C - Madawa ya kulevya, kwa sasa kajirudi yupo ulaya
Vanessa Mdee - alinusuika kupotea kwa Unywaji wa pombe kupitiliza,
Langa - Madawa ya kulevya, RIP
Nhwea - Madawa ya kulevya , RIP
Kuna producer flani maarufu inasemekana nae alianza kutumia drugs alinusurika
Mbiu hii ipigwe kote kwenye viunga vyote vya mitandao ya kijamii, kila alipo mpenda haki tarifa hizi zimfikie kwa namna yoyote ile
Nani asiyejua?
Vyombo vya habari ni chombo kikiamua kutekeleza majukumu yake, nchi inaweza kushinda vita dhidi ya adui bila hata kutumia silaha
Cha ajabu katika...
Kwa takribani kipindi cha miezi miwili sasa, nchini Tanzania kumeshuhudiwa kampeni za kimtandao zinazoendeshwa na baadhi ya watu maarufu na wanaharakati, zikihamasisha umma kusitisha kuzipa sapoti kazi za wasanii wa Tanzania. Kampeni hizi zimehusisha kutosikiliza nyimbo zao, kutohudhuria...
Wasanii siyo Oxygen. We can do without thém!
After all, by 99.9% are a product of classroom failure!
They are Iron Boys to entertain the State! as documented by Plato in The Theory of a State
Muwe na siku NJEMA!
Wakati wasanii wakikaangwa na mashabiki kwa kukosa matamasha na uungwaji mkono kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii, hatuoni BASATA wakifanya juhudi zozote kuwasaidia. Wapo kimyaaaaa, kama vile BASATA imefutwa.
Mpk wadau binafsi kama Majizzo wanachukua hatua ya kuja mbele ya vyombo vya habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.