Salaam Wakuu,
Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa.
BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani.
Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha.
Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna...
Baada ya Tamasha hili, Kuna uwezekano mkubwa Muandaaji akafunguliwa kesi ya madai ya Mabilionea kwa kutumia nyimbo za wasanii katika Tamasha la Biashara endapo idhini yao haikupatikana.
Nipo pale Tusubiri tuone panapovuja wapi
Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii.
Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
Wadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa.
Hivi karibuni kumekuwa na mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu kupokwa kwa nyota ya msanii Jay melody aliyetamba ni nyimbo...
🧵 TAFAKURI: Maisha ya Wasanii Nyuma ya Pazia – Kuna Nini Kinaendelea?
Kuna jambo huwa linanikaa kichwani kila mara ninaposikia habari za wasanii kufariki katika mazingira ya kutatanisha. Sio kwa lengo la kuhukumu, bali kujiuliza tu… je, tunawajua kweli hawa watu tunaowashangilia kila siku...
Wakuu,
Naona ndugu zetu washaanza kutoa milio huko 😂
Tuliwaambia waachane na siasa wasimame na wananchi wakakaza shingo. Sasa hivi wameshatumika wanatoa milio.
Malipo ni hapa hapa duniani!
-------
Msanii Diamond Platnumz, akizungumza leo, Machi 31, 2026, katika mahojiano maalum na kituo...
Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki .
Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager.
Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
Punguzen haya mambo mnaonekaana vituko na usaniii
Yaan kila.mtu akienda misiba ya wakubwa anataka vid anataka picha arushe fb nani anahitaji picha zenu kwenye fb ama vid zenu
Kufika n inada uhitaji kutujuza umefika msiban mbona amtuambii na michango.mmetoa sh ngapi???
Kuna kichekesho...
K sal ft ferooz Mwana mkiwa
Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo & Domokaya inayoitwa starehe na fedha ila haikufanya pouwa baada ya hapo kimya hadi leo
Kali P - Imekaa vibaya
Baada ya hii ngoma sijawahi mskia tena huyu jamaa mpaka leo...
N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi
Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio.
Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la...
Wasanii kwa wasanii wanaishi maisha ya kisanii ,maisha ya kinafiki , wanajifanya wanapendana kumbe upendo wa kinafiki.
Wasanii hupenda kuhudhuria shughuli iwe ni msiba, birthday,harusi nk ya mtu mwenye pesa , asiye na pesa wanamkalia mbali hata kama ni msanii mwenzao.
Kwa haraka haraka...
Kwanini Watanzania hampendi kuwashangilia wasanii wenu kama mnavyoshangilia wasanii wa nje?
Davido alipokuwa akitumbuiza alipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa shabiki tofauti na wasanii wa Tanzania wanapokuwa wakitumbuiza
Ni zipi sababu za kutokuonesha ushirikiano kwa wasanii wenu wa Tanzani...
Ni kama vuguvugu limepungua, wadhalimu wanaendelea kujilia vyal, na Kama mtu hajajeruhiwa au kupoteza ndugu ndio hata hawezi kumbuka kabisa.
Wananchi wako busy kwenye challenge za wasanii.
Ni masikitiko makubwa kwa damu ya raia iliomwagwa makusudi na kwa majivuno kisha haya yakawa ndio...
Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
Wakiwa na pesa huwa wala hawawakumbuki. Wanatamba na kuonesha jinsi ambavyo wanafaidi maisha na nyie sababu wavivu mnataabika.
Daily wanapost wakila kuku, wakiwa dubai, china na ulimwenguni waki enjoy life. Wanakula maisha wanapewa na chama chakavu maishani. Wakianza kuumwa pesa zao hawataki...
Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa.
Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
"Kujibrand", "Kulinda brand" ni mambo yanayowaumiza wasanii wengi kimyakimya na baadae kuja kuumbuka vibaya mambo yanapowazidia. Wasanii wengi wanadhani "Branding" ni kuishi maisha feki ya kitapeli ili uonekane wa thamani huku ukiteketea ndani kwa ndani. Mkubwa Fella kwa sasa anaomba michango ya...
Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana huduma wala msaada wowote
Dudu baya amebainisha kuwa
1. Mkubwa Fela alifanya dhulumu nyingi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.