WASANII WA MUSIC HII INAWAHUSU;
kipaji ni sehemu ya maisha yetu,tunaamin kila binadamu anakipaji alichopewa na mwenyenz mungu,vipaji vipo vingi ila kuna wanaopenda KUIMBA,
wasanii wanaopenda music wapo wengi sana ila ni wachache wanaopata nafasi ya kurecod na kuskika.
Sasa mkombozi wenu kaja...