wasanii

  1. Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

    Wakuu, Sasa hivi nimetulia ghetto nikipata kusikiliza gospel za hao watu wawili ,fanuel sedekia na Angela muriri chibalonza Nimegundua hao watu walikuwa mbele ya muda. Itachukua muda sana kuziba mapengo yao. Je, kuna waliofanikiwa kuziba mapengo yao mpk sasa?
  2. Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020. ===== Taarifa kwa vyombo vya Habari Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
  3. Wasanii wetu kuweni na mameneja

    Hello, Mnajisahau sana, mkitumiwa ujumbe hamjibu. Kama hamtaki kusumbuliwa si muweke contacts za meneja wenu, mtu akitaka kuwasiliana na nyie anapitia meneja wenu?
  4. Hivi "Social distance" ni kwa Rais pekee?

    Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia (Refer siku ya kuapishwa kwake) Any way naona Mheshimiwa anajipendelea yani anajihakikishia usalama...
  5. AFRIMMA AWARDS 2020: Hongereni wasanii wetu Diamond, Zuchu na Nandi kwa kutuwakilisha vilivyo watanzania

    Napenda kuanza kwa kuwapa hongera wasanii wetu kwa kazi nzuri inayoonekana . Hakika juhudi inalipa. Katika utoaji wa tuzo hizo za AFRIMMA jana usiku wasanii Diamond, Nandi na Zuchu wamechukua tuzo za -: Best east Afrika awards ya (Female & Male - DIAMOND PLATNUMZ & NANDI). Huku tuzo ya -...
  6. Harmonize ashutumiwa kuiba wimbo wa "Huo ni Ushamba"

    Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba". Wasanii hao wanadai walitunga wimbo mapema wanaouita "upimbi", wimbo ambao unaendana wazo pamoja na kiitikio (Chorus)...
  7. Wasanii wa Bongo hali tete kwa sasa na YouTube Views

    Habari! Wasanii wa bongo walikuwa na mashindano yao walikuwa wanaumiza vichwa kufanya kazi zao kwa bidii na nguvu zote. Sasa hivi karibuni yale mashindano na majigambo walikuwa wanatupiana nani amefanya kazi nzuri huku wakiamini YouTube Views ndio zinapoma ubora wa kazi zao. Mambo yamekuwa si...
  8. Kwanini wasanii wanaijeria wanatukimbiza huko youtube

    Leo nilikuwa napitia huko youtube nimegundua wasanii wetu watachukua muda mrefu kufikia level za wasanii wa naija. Kwanini tunaachwa mbali sana nyimbo za wasanii wetu ukizisikia zinavyolia kila mtaa unaweza usiamini utachokiona huko youtube viewers ni wachache sana Wakati wenzetu ukisikia...
  9. GE2020 Afande Sele: Wasanii wengi walikimbilia siasa wakitegemea umaarufu wao utawapitisha

    Msanii wa muda mrefu kwenye kiwanda cha muziki Bongo, Selemani Msindi, maarufu kama Afande Sele, amesema kwenye mchakato wa uchaguzi mwaka huu amejifunza kuwa wajumbe hawaangalii sura, pesa au umaarufu wa mtu ili kumpitisha kwenye uongozi. Afande Sele ametoa mtazamo huo baada ya wasanii wengi...
  10. GE2020 Wasanii wameharibu sana kampeni za CCM, Wiki ya mwisho kuelekea uchaguzi inatia huzuni

    Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu. Vile vijembe vya CCM kwa nyimbo za John Komba vimebadilika sana. Nimehudhuria mikutano kadhaa ya kampeni ya vyama...
  11. GE2020 Wasanii, kiama ni tarehe 28 Oktoba 2020. Daini chenu mapema

    Mwisho wa ubaya ni aibu. Kila chenye mwanzo kina mwisho. Mwisho wa kurukaruka na mauno yenu ni 28/10/2020. Kumbukeni CCM ni ileile. Haijabadilika. Ninyi si wa kwanza kudhulumiwa na CCM. Msipodai chenu mapema mjue ndiyo imetoka hiyo. Safari hii hatutawaonea huruma hata mtakapokuwa wagonjwa...
  12. M

    Wasanii mkishamaliza kuiweka CCM madarakani mkumbuke mtarudi kitaa kuganga njaa kama kawaida yenu hadi 2025

    Nawakumbusha tu msije mkajisahau mkadhani CCM itaondoka na nyie kwenda Ikulu na kuendelea kula bata na kupewa visent mnavyodanganywa kwa Sasa.
  13. W

    GE2020 CHADEMA wamepoteana Zakhiem Mbagala, subirini mziki wa CCM leo mtajutia mlivyobugi

    Hakukuwa na sababu ya msingi kwa MC, DJ Mbowe na Mwalimu kuwapa watu waliohudhuria tension zisizo na maana eti kuna maamuzi mazito yatokanayo na uenguaji wa wagombea wa ACT na CDM. Taarifa yenyewe ambayo imesisitizwa na hawa wasanii ni 1. Kutokuwa tayari kujitoa uchaguzi huu. 2. Kudai katika...
  14. Kwa uelewa wangu, duniani kote Vyama vya Siasa huwa na wasanii maalum kutumbuiza wakati wa kampeni

    Nimejaribu kuangalia ile mobilization iliyofanywa na wasanii kule nchini Nigeria kina Davido na wenzake wakiandamana kuomba kile kikosi maalum cha Polisi kinachotesa Raia kivunjwe na hatimaye mamlaka zimekivunja. Huku Bongo Wasanii wa kizazi kipya kina Diamond na kundi lake wanakata mauno kwenye...
  15. Ki inzi: wanasiasa wanavyo watumia wasanii wakati wa kampeni

  16. Q

    Tofauti ya wasanii wa Bongo na wa Nigeria

    Nyota wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido) akiongoza sehemu ya maandamano ya vijana nchini humo kutaka kufutwa kwa Kikosi Maalumu cha Polisi cha Kupambana na Uhalifu (SARS), kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu hasa dhidi ya vijana katika utendaji wake.
  17. M

    GE2020 Lissu mnyang'anye Magufuli advantage ya vyombo vya habari vya umma na wasanii

    Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi. Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya. Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi...
  18. Hawa wasanii wana enjoy kweli kuwepo kwenye kampeni?

    Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama .. Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa Wangeshiriki??.. Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa...
  19. Buriani John Nash na kiu ya kufahamu ni nini kinakosekana kwa Wasanii wetu hapa Bongo

    John Lester Nash-1940-2020 Nikiwa bado Bw mdogo nyumbani alifika Baba yangu mdogo mmoja akiwa na kaseti kadhaa alizotoka nazo ng'ambo..miongoni mwa nyimbo zilizonivutia kwenye moja ya kaseti ni ngoma ya "rock me baby" Sikujali sana ni nani aliyeimba kibao hicho ila baadae nilikuja kujua...
  20. Kuna haja ya kuuonesha uma mkufu wa dhahabu na almasi ni upi hasa kwa wasanii wetu,wengi wanavaa vyuma siyo mikufu

    Nilikwenda mlimani city kwa Mara ya kwanza mwaka 2007 nikaoneshwa mkufu wa dhahabu nilitoa macho kiasi kwamba ukimpa msichana kama zawadi lazima umuoe,kwani unang'aa kama jua linachomoza au kuzama. Pia nilimuona Dada mmoja amevaa udsm kidani cha almasi kwa jinsi kinavyochoma lazima umfuate,sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…