wasaidizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lanlady

    Mikataba kwa wasaidizi wa kazi za ndani, je ni vigezo gani vinavyozingatia kwa nchi husika kukubali mikataba hiyo?

    Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao wafanyakazi pamoja na mikataba ya kimailtaifa. Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa...
  2. J

    Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

    Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19. Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema...
  3. B

    Kama wasaidizi wa Kingai wamepandishwa vyeo, siku si nyingi mamlaka ya RAIS itampandisha cheo kuwa SACP/DCP/CP au IGP

    Siyo watu wote waliofanya uovu uadhibiwa na mamlaka za kibinadamu. Wengi wa wahalifu ufanya uhalifu baada ya kuingia mkataba wa uhalifu na wanapendezwa na huo uhalifu. Yawezekana kama wakina Kingai walifanya mateso waliyoeleza watuhumiwa kesi ya Mbowe basi walisaini mkataba wakuifanya kazi hii...
  4. N

    Inaonesha Wasaidizi wa Rais hawako makini kivile!

    Kuhusu kukosea kosea kwa maneno kunazidi kuongezeka kwa Mheshimiwa Rais wetu. Wkt akihojiwa na BBC aliongea kuwa wenzake Mbowe walishafungwa na ilikuwa inasubiriwa Mbowe tu arudi kutoka ughaibuni naye afungwe! Ninavyojua mimi kwa mtu asiyeelewa (yaan layman) hata kupelekwa mahakamani ni sawa na...
  5. Leak

    Ni kweli Rais Samia sio mfuatiliaji? Wasaidizi wake wana msaada gani? Kazi yao ni nini? Au na yeye hashauriki?

    Ukweli ni kwamba kuna matukio Rais wetu amekuwa akiingizwa mkenge ni pengine kwa makusudi au kwa bahati mbaya hasa na wasaidizi wake! Mh Rais alipoingia madarakani alichagua wasaidizi kutoka kada mbali mbali kuanzia uchumi, siasa, diplomasia na kila kona! Lakini pamoja na wasaidizi hao bado...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Majibu ya Udalali wa Wasaidizi wa kazi za ndani. Ufafanuzi wa kina

    MAJIBU NA UFAFANUZI KUHUSU UDALALI/UWAKALA WA WASAIDIZI WA KAZI ZA MAJUMBANI. Anaandika, Robert Heriel. Wakala wa WASAIDIZI WA Ndani. Bila Shaka wote ni wazima humu. Andiko hili nitaeleza muhtasari wa suala la Wasaidizi wa kazi za ndani. Mimi nikiwa Mdau, na mkurugenzi wa Kampuni inayohusika...
  7. beth

    Urusi: Rais Putin ajitenga baada ya wasaidizi wake kupata Corona

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin anajitenga kama tahadhari baada ya Wasaidizi wake wa karibu kuugua Ugonjwa wa COVID19. Imeelezwa, Rais huyo mwenye miaka 68 hana maambukizi. Kwa mujibu wa Ikulu (Kremlin) Putin kwa kushirikiana na Wataalamu alifikia uamuzi wa kujitenga baada ya kukutana na Rais wa...
  8. MAHANJU

    Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
  9. Evarest cath

    Fursa za Kazi na mafunzo ya Ujenzi kwa Mafundi na Wasaidizi

    FURSA FURSA FURSA Tunawatangazia mafundi wote wa ujenzi na wasaidizi wa kazi za Ujenzi kuwa kuna fursa ya kazi na mafunzo ya ujenzi. Pia kwa yeyote yule ambaye yuko tayari kujifunza ujenzi ata kama sio Fundi wa ujenzi atapokelewa. Tunapatikana Kibaha Misugusugu. Kwa maelezo zaidi piga: 0672629292
  10. Sky Eclat

    Wasaidizi wanamshauri iwepo kodi ya pumzi

  11. S

    Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

    Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria...
  12. M

    Huenda Rais Samia anawaamini wasaidizi wake walioshiba wanapowasemea wenye njaa

    Nachukua fulsa hii kumpongeza mama kwa kazi kubwa anazo zifanya kwa taifa hili tena ukizingatia amepokea kijiti kama mpira wa krosi ya kubabatizwa, lakini anajaribu kuutuliza mpira utulie hili aweze kuucheza. Nikirudi katika mada Hili lilionekana zaidi ile siku alipokuwa akihojiwa na Idhaa ya...
  13. J

    Wasaidizi wa Rais Samia warekebishe makosa aliyofanya katika mahojiano na BBC, vinginevyo ataonekana siyo muungwana

    Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC. Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na...
  14. S

    Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura

    Mama Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, mwaka 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura. Wakina Mwigulu ni Wapambe wasaka tonge wa 2025. Kama kichwa cha habari kinavyosema katika kila serikali inapoingia madarakani inakuwa na watu wake yaani hao ndio chama chamani hakuna...
  15. S

    Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

    Wasaidizi wa kazi ( almaarufu wafanya kazi za ndani ) hawa ni watu muhimu sana katika familia na ustawi wake kwani huwapunguzia wanafamilia hasa baba na mama majukum ya nyumbani na kuwa na mawanda mapana ya kufanya shughuli zao za kiuchumi na maendeleo hata kama wana watoto nyumbani. Pamoja na...
  16. Mwande na Mndewa

    Hayati Dkt. Magufuli alichangisha matajiri na wasaidizi wake, hao ndio wenye hela

    Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount. Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount. Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu. Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300. Kwa...
  17. Msanii

    Rais Samia, umerithi wasaidizi hivyo umerithi miiba pia

    Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025. Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa Wasaidizi uliohama nao kutoka Awamu ya Tano Katiba Mpya...
  18. C

    Rais Samia na Wasaidizi wake wapunguze pressure; support aliyonayo ni kubwa sana

    Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani hawatapata sapoti ambayo polisi wanadhani itakuwepo, punguzeni mihemko ya kitoto. Tena kama...
  19. nelvine

    Mawazo kuhusu biashara ya wasaidizi wa kazi za ndani

    Habari wanajamvi, msaada wa mawazo yenu hapa. Nilikuwa nina wazo la bihashara ya wasichana wa kazi ( house girls) mwaka jana, lilikua niwe nawatafuta mabinti nawapa mafunzo kiasi jinsi ya kufanya kazi na kujifunza ujuzi mdogo mdogo, pia niwachambue wale bora na kuwatafutia kazi za ndani. Lengo...
Back
Top Bottom