wasafi

  1. J

    TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha utoaji huduma za utangazaji kwa Wasafi FM kwa muda wa siku saba kuanzia Septemba 12 hadi Septemba 18 mwaka huu. Uamuzi huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba Jijini Dar es Salaam ambapo amesema hatua hiyo ni kutokana na...
  2. John abruzzi

    Ombi: Dewji ungana na Diamond Platnumz muanzishe Wasafi Football Club

    Namshauri Mo Dewji ashirikiane na Diamond Platnumz kuunda timu ya Wasafi Football Club. WASAFI ni blrnd yenye nguvu sana nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Wasafi media imepata mashabiki lukuki katika kipindi kifupi tangu kuanzishwa kwake ikizipita media kongwe katika mitandao ya...
  3. GENTAMYCINE

    Natabiri mapema tu hapa kuwa Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM Sports Arena cha Jumatatu 7 Septemba 2020 Mada Kuu itakuwa Kigangwala na Mo Dewji pekee

    Na hivi Watangazaji wake Waandamizi akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule bila kuwasahau na 'Wanafiki' wao wakubwa Kiutangazaji akina George Job na Musa Kawambwa kwa pamoja wote wakiwa Mashabiki wa Yanga SC hiyo itakuwa Siku yao ya 'Kuichokonoa' na 'Kuichamba' mpaka 'Kuichafua' Simba SC hasa...
  4. H

    Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

    Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na...
  5. M

    Wasafi FM imewanin'giniza wenzao Clouds FM baada ya kufungiwa na TCRA kuwaita majambazi

    Nimewasikia Wasafi fm leo asubui kupitia kwa mtangazaji wake anaijiita jina baya la Beberu, Zembwela alitoa mfano kuwa kifo hata cha jambazi ni lazima tuuzunike kwani na yeye ana mchango fulani katika jamii Zembwela alikwenda mbali zaidi na kutoa mfano kuwa, kuna jambazi ambaye aliiba banki na...
  6. Nafaka

    Wasafi TV ni Bora sana kuliko TV nyingi za entertainment

    Nimekua mara moja moja nikitazama hii TV, jambomoja nililogundua ni kwamba Naseeb hafanyi mambo ya kubahatisha akifanya kitu anafanya kweli. Wasafi TV kuanzia muonekano wa picha, vipindi vyao vinavyotengenezwa, wako vizrui compared na TV kama clouds iliyokuwepo kabla yao. Mimi nimekuwa mpenzi...
  7. H

    RDJ Mamie wa E-FM amejiunga rasmi na Wasafi Media

    DJ Maarufu wa E-FM na mwenye manjonjo ya aina yake DJ Mamie, jana ametanganza rasmi amejiunga na Wasafi Media kupitia Instagram yake. Baada ya kupost, hiyo post imepata like nyingi na comment nyingi kuliko post zake zote na kuonesha namna gani mashabiki walivyofurahia kuja kwake Wasafi Media...
  8. Miss Zomboko

    Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

    TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa. Wasafi Media...
  9. Matope

    Kupewa MIC Makonda, Wasafi wamekata matangazo

    Hii inashangaza sana kweli Mhe. Makonda kupewa MIC kama mzungumzaji kwenye harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo Hii kitaalaam tunaitaje?
  10. chiembe

    Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

    Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu Nashauri nafasi za Makonda apewe Mkuu wa Mkoa wa sasa bwana Kunenge,wasipofanya hivyo, itaonekana wanmpinga ndugu...
  11. GENTAMYCINE

    Kwa hiki nilichokisikia Leo Wasafi FM huenda yale maneno ya ' Kashfa ' ya Kocha Luc Eymael kwa Uongozi wa Yanga alikuwa sawa

    Miezi kama si Miwili hivi nyuma nakumbuka kupitia Redio hiyo hiyo ya Wasafi FM ( japo Video yake ipo na ilienea pia ) Mmoja wa Mwana Yanga SC anayejifanya ana Hela na anataka Kushindana na Mo Dewji ' Injinia ' Hersi kwa ' Majigambo ' kabisa alisema kuwa tayari Klabu ya Yanga imeshamalizana na...
  12. YEHODAYA

    Mkapa alikuwa na mafaili ya wengi wasio wasafi CCM na Serikalini, Mzee Mangula simama imara kwenye kuchuja wagombea

    Mkapa alitusaidia Kama nchi kupata Raisi Safi Magufuli sababu alikuwa na mafaili ya wezi, mafisadi na vibaka ndani ya CCM na serikali. Angekuwa hai angesaidia mno mchakato wa kuchuja watia Nia ubunge na udiwani sababu aliwajua wengi in and out Mkapa ndie alisaidia nchi kupata Raisi Magufuli...
  13. John abruzzi

    Adam Mchomvu ndani ya Wasafi TV, kunani?

    Leo saa tatu usiku Adam Mchomvu atakuwa ndani ya Wasafi TV sijajua kunanini. Let wait and see. Source: Wasafi TV Instagram page
  14. DullyJr

    Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

    Labda niweke wazi kuwa sina chuki hata chembe na hiki kituo cha redio na wala sina utimu mimi....ila ukweli lazima usemwe ili ikiwezekana mabadiliko yafanyike. Awali kipindi hiki kilipoanzishwa niliahidi kuwa mdau mkubwa wa kipindi hiki cha michezo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda nilianza...
  15. Nafaka

    Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

    Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Big Sunday Live kinachoongozwa na Lil Ommy. Nikiri wazi kuwa nimependa show yake, kuanzia ukumbi wamejitahidi sana maana hadi magari bajaji bodaboda zinazama mpaka kwa stage. Pia kina segments nyingi za kuvutia ikiwemo vichekesho, michezo, performance...
  16. Mzukulu

    TCRA kama bado mna Meno yenu Makali natumaini hiki nilichokisikia leo kutoka Wasafi FM mtawaadhibu upesi

    Nina uhakika kuanzia Sheria za nchi na hata za Utangazaji hadi zenu nyie TCRA haziruhusu Kituo chochote kile cha Redio kupiga Wimbo ambao / Nyimbo ambazo ndani yake kuna Matusi makubwa makubwa yanatajwa hata kama hayatajwi kwa Lugha ya Kiswahili na yanatajwa kwa Lugha ya Kiingereza ambayo bahati...
  17. H

    Wasafi media leo watafanya tukio kubwa

    Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi wasafi tv, Wasafi FM na Channel yao ya YouTube Wasafi media haijulikani nikutambulisha mtangazaji...
  18. W

    Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Salamu kwenu. Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona. Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1. Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
  19. U

    Tetesi: Rosa Ree kuingia WCB Wasafi. Tazama Ngoma Waliofanya na Rayvanny

    Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:
  20. Riz king

    Diamond unapondwa lakini naona Wasafi Media zimewakaba koo watesi wako. Rekebisha mapungufu machache tuizike Clouds

    Mtoto wa Tandale kwa namna mambo yalivo pale Wasafi Media naona kama wiki mbili zilizopita mpaka Clouds Media wakapata mtikisiko na wakaja na visegment vya hovyo sijui eti wanavunja sheria mjengoni, yote hiyo walikuogopa kwa ujio wako kwenye media ila fanya haya kama utaona yana tija ili tuzidi...
Back
Top Bottom