wasafi

  1. H

    Diamond: Tayari tumepata leseni ya kurusha Wasafi FM nchi nzima

    Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani. Amefunguka "Mwanzo tulikuwa hatujapa leseni ya Serikali kurushwa redio nchi nzima ila kwa mwaka huu...
  2. mayowela

    Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

    Ni muda kipindi cha Block 89, mimi hukiita kipindi mama cha Wasafi FM, yeah its true ndio kilichoanza, hakiruki hewani. Kuanzishwa kwa kipindi kipya cha The switch kulipelekea kipindi hiko kisiruke kwa sababu Maudhui yanafanana, nilishaleta uzi humu. Kulikuwa na majadiliano kabla ya The Switch...
  3. H

    Exclusive interview na diamond kwenye kipindi Cha good morning kesho wasafi FM

    Diamond atakuwa kesho kwenye kipindi Cha good morning Cha Wasafi FM kinachorushwa kuanzia saa 11 mpaka saa 2 na nusu Asubuhi kutoa muongozo katika namna ya kupata msaada wake wakulipia Kodi ya miezi 3 kwa familia 500 so stay turned.
  4. Pascal Mayalla

    Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.

    Wanabodi, Heri ya Pasaka. Naangalia Live ya Pasaka kwe Wasafi TV, kipindi kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri Lilian Mwasha ila kiukweli somo la social distancing bado halijaeleweka. Kama hii ndio media iliyopaswa kuonyesha mfano wa social distancing, lakini wao ka Studio kadogo wanarundikana watu...
  5. Mkaruka

    USHAHIDI: Kumbe Wasafi wanaboost YouTube Channels zao kupata views. Sijui tambo huwa zinatoka wapi wakati siyo natural trending !!!

    Ninaweka kama kumbukumbu tu !! Kwa wale wasanii wengine wanaotegemea kuweka tu video zao YouTube na kutegemea kila kitu kiende basi ndio hivyo wenzenu wanalipia !!!
  6. mayowela

    Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

    Kutokana na teaser ilianza kusambaa tangu wiki ilioisha huko kwenye mitandao ya kijamii "FUNDI BORA KWAKO NI NANI" Hatimae leo mida ya saa nane majira ya mchana fumbo litaenda kufumbuliwa, Je ni Lil Ommy, Sam Misago, Ammy Gal na Dj Mafuvu kutambulishwa rasmi Wasafi..? mimi sijui yetu macho na...
  7. Slowly

    Aaliyaah Mohamed mtanagzaji wa Refresh Wasafi tv ananikosha Sana

    Huyu mtoto ana sauti moja mashalaah , tena ya kibabe na mi mrembo kweli kweli, naskia Mbosso anatafuna pale, kwa mara ya Kwanza namuonea wivu Mbosso aisee. Namkubali Sana huyu bi_dada popote alipo mpeni salam zangu, msimu huu wa Corona
  8. U

    Hizi habari za connection zinatujenga watz kuwa watumwa wa picha chafu hata kwa wasafi

    Hizi habari za kila siku kusikia connection, connection ya kupata picha chafu hasa za watanzania na watu maarufu zinatujenga kidogo kidogo kuwa watumwa wa hizi mambo. Sote tunajua watanzania sio wacheza picha chafu na hiyo tabia haikuwepo, Ila Sasa hata wale ambao walikuwa hawana utamaduni wa...
  9. H

    Kivumbi cup ya Wasafi media

    Wasafi wameanzisha michuano ya mpira inayohusisha team za mitaani ambayo inaitwa kivumbi cup kwa lengo la kupata vijana wenye uwezo lakini pia ni sehemu ya vijana kujipatia kipato.Mshindi wa mashindano hayo atapata mil 20 wa pili mil 10 na watatu atapata mil 5, man of the match, mashabiki Bora...
  10. H

    Salma Dakota wa TBC rasmi amejiunga na Wasafi Media

    Wasafi Media a.k.a Real Madrid wa media wamemsaini rasmi mtangazaji aliyekuwa anatangaza TBC Salma Dakota baada ya kufikiana makubaliano kwa pande zote mbili. Jana Salma Dakota ameaga uongozi wa TBC na wafanyakazi wote nakutoa shukrani zake zote kwa kipindi chake chote alichokuwa anafanya kazi...
  11. H

    Nawapongeza Sport Arena ya Wasafi FM kwenye hili

    Nimependa Sana huu ubunifu wa Sport Arena walikuja nalo la kuwa na mtu mwenye takwimu kwenye kipindi.Mtu huyo anahusika na kuchukua takwimu za mchezo pamoja na mchezaji mmoja mmoja kwa kuangalia pass alizopiga, interception alizofanya, loss pass na maeneo mengine. Hili litasaidia kukuza soka...
  12. H

    Mtangazaji Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM

    Mtangazaji maarufu wa Times FM, Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM na leo atatambulishwa rasmi. Watu wengi tuliona tokea mwanzo ikiwemo me muda si mrefu Didah atatua Wasafi hii ni kwasababu Diamond amekuwa na urafiki wa karibu Sana na Didah Shaibu for a long time hata events nyingi za...
  13. M

    Wasafi Media mnakwama wapi?

    Nimekuwa nikifuatilia sana Wasafi Tv channel na radio pia nimeona ni jinsi gani hamjajipanga na mnafanya kazi kwa mazoea. Naamini hata wafanyakazi wenu wengi hawana taaluma ya utangazaji wala uandaaji wa vipindi. Watangazaji wenu wamekuwa na porojo nyingi na kutokuwa na taarifa sahihi...
  14. aka2030

    Kila anayefanya mahojiano wasafi fm/tv kwanini aulizwe kuhusu Diamond?

    Sijajua ni woga wa watangazaji ama mbinu za kumfanya aendelee Kuwa vinywani Mwa watu?ooh unamuongeleaje diamond? Vipi mchango wa diamond kwenye mziki? Unaonaje anavyowakilisha kimataifa? Waacheni huru wanaohojiwa
  15. H

    Kusaga: Sina hisa zozote ndani ya Wasafi Media

    Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu...
  16. H

    Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

    Leo saa tatu kamili usiku kutakuwa na interview ya mkurugenzi wa Clouds Media ndani ya kipindi Bartender kikiongozwa na mtu mbaya Jonijo ndani ya Wasafi TV siyakukosa leo. Je, kupitia interview hii tunaweza tukaona bifu la Clouds na Diamond kuisha? Tusubili muda utaongea maana Jonijo pia ndio...
  17. G

    Hongera Wasafi Tv

    Jana nilikuwa naangalia kipindi chenu cha Women matters, kipindi kizuri ila kilikuwa hakina utulivu, hujui nani mgeni nani muongozaji, kila mtu anongea tu kama wako Baa, infact kiliboa sana, angalieni tv zingine.
  18. H

    WASAFI MEDIA wafikisha mil 1 subscribers

    Wasafi media imefikisha mil 1 subscribers ya watazamaji YouTube na kuwa ni media pekee ya tz yenye subcriber wengi kuliko media yoyote ikiwa imeanzishwa muda si mrefu.
  19. Narumu newz

    Hamonize kujitoa Wasafi ni mpango wa Wasafi kumzika Ali Kiba

    Habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba Harmonize bado yupo Wasafi ila kinachoendelea ni drama ya kuhakikisha Ali Kiba anayeyushwa kwenye gemu. Mashabiki wengi wa Kiba watavutwa kwa Konde Boy company ambayo iko chini ya WCB, mpango huu umesukwa na jopo la wakongwe wanaomsimamia Mondi akiwemo...
  20. H

    Wasafi Festival wamewatendea haki Wananchi

    Please mod usiuunganishe Uzi wangu. MTAZAMO WANGU WA SHOW YA JANA Jana wasafi festival waliiteka dar nzima na east Africa kwa ujumla.kiukweli waliofanya vizuri ni wengi Sana siwezi kuweka wote.Hapa nitaweka list ya wasanii top 7 niliyoona wameperform vizuri 1. Diamond Huyu ndo alikuwa ndio...
Back
Top Bottom