Kwema wakurungwa? Weekend ndo hii mambo yawe mengi kidogo.
Nizame kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Nataka niwaulize wasafi FM huu utaratibu wa kucheza matangazo katikati ya mazungumzo mmeutoa wapi? Yaani unakuta mtangazaji anaongea au labda mgeni kaletwa kwenye kipindi kwa...