wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je ni wapi naweza pata huduma nzuri ya corporate food catering kwa hapa dar?

    Hello bosses and roses... Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata. Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza kupata mikeka ya jumla?

    Salaam wakuu. Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa. Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara. Natanguliza shukran.
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

    Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
  4. JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  5. JamiiForums Tanzania Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi

    Wakuu! Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi 😄✈️ Twende kazi! 👇🌎
  6. K

    JamiiForums Tanzania Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi??

    Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi?? Kama wewe ni kijana ambao ni 80% wanamsikiliza mzee wasira ambaye alikuwa mkuu wa mkoa 1978 kwa uchawa wake au Heche? Nchi ndiyo ipo hapa. Kwasababu ya nguvu ya serikali wanataka kukuaminisha watanzania wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Wapi Chimbo la Suti za Kishua kwa bei nafuu?

    Wakuu tunaopiga suti kali za kishua, tujuzane machimbo ya suti kali Dar Mwanza Arusha na kwingineko
  8. JamiiForums Tanzania Wako wapi Hawa!!

    Walikua maarufu sana hasa Twitter x" na Telegram,miaka ya 2021 mbaka 2024? :Asha zungu :Sauda Bubu :Linda amossi :Yanga girl :Mona deus aka slim lady, :Sy kivuluge sijapata kabisa kuwaona si mtaani wala mitandaoni! Na hata content utapata zile zile za zamani! Je kuna mtu anaweza kujua wako...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Luhaga Mpina yuko wapi na anajishughulisha na nini kwa sasa?

    Ile jeuri na kiburi ya kisiasa alokua nayo akiwa CCM bado anayo tena huko ACT Wazalendo? Ama kwa hakika samaki hawezi kuishi nchi kavu. Ngebe zake zote hakuna tena na amekua funzo na darasa la anguko katika uongozi hasa kwa wanasiasa wanaopenda majivuno, ulevi wa sifa na kiburi nonsense. Hata...
  10. JamiiForums Tanzania Yusufu Makamba amepotelea wapi?

    Huyu mzee alikuwa bwatu bwatu sana. Tukawa tunamwangalia tunasema hiiii.... Yu wapi sasa? Mbona yu kimya sana? Hatumwoni akiwananga wengine na kuwachamba. Wala kumsifia jini maimuna.... Je ni nini kimemkuta ?
  11. JamiiForums Tanzania Walokole, tangu muanze kumkanyaga Shetani kwa jina la Yesu mmefikia wapi?

    Awali ya yote Lissu sio Muhaini. Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina. Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga. Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
  12. JamiiForums Tanzania Unahitaji fundi ujenzi wa nyumba? Nipe kazi hiyo

    Basi WhatsApp/call number hii hapa 0652494919 simu ziite. Tunafeli wapi ndugu zanguni?
  13. JamiiForums Tanzania Wapi Ilipokuwa Ofisi ya Market Master Kariakoo Market?

    Ilipokuwa inapita Barabara ya Swahili makutano na Mtaa wa Tandamti nimekuta pamejengwa na ni sehemu ya Soko la Kariakoo. Mtaa wa Swahili unakatika hapo na unakuja kuendelea kuanzia Mkunguni kwenda mbele. Hapo niliposimama kwenye picha nimesimama ilipokuwa zamani Barabara ya Swahili na...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo. Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
  15. JamiiForums Tanzania Dada wa Lissu: Lissu hapendi kificho anaongea wazi, tunataka haki, hizo 4R za Rais ziko wapi?

    Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake, kwani kwa namna anavyomfahamu mara zote Tundu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

    Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad. Mwenyezi Mungu alishatoa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la...
  17. JamiiForums Tanzania Ladha ya kufanya mapenzi ipo wapi?

    Hivi ladha ya kufanya mapenzi ipo I wapi kwanini watu wana promote Sana? Kusema ukweli watu wanaipromote ngono kipa mara ila haina ladha wala faida yoyote au kuna namna yoyote ya kufanya mapenzi mpaka afurahie yaani unatumia nguvu ladha unaipata kwenye kumwaga Tu? Au kuna sehemu nyingine ambapo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kiko wapi? Milioni tano za goli la mama, simsikii Msigwa wala Mchengerwa,

    Nauliza tu Msigwa uko wapi, mbona hatusikii tena goli la mama labda Simba ingeshinda Chezea Watanganyika na sio wazungu Kwisha habari zenu
  19. B

    JamiiForums Tanzania Zile nafasi za kazi zilizotangazwa karibia na uchaguzi mkuu zimeishia wapi?

    Habari wana JF. Mtakumbuka mnamo mwaka 2025 karibu kbs na uchaguzi Sekretariet ya ajira ilitangaza nafasi nyingi za kada tofauti. Nafasi zile zilileta maneno sana wengi wakisema ni rushwa kwsbb uchaguzi umekaribia. Wengi tuliomba na deadline ilikuwa Oktoba 31. Cha ajabu hatujaitwa kwenye usaili...
  20. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Jasusi Bichwa Komwe ?

    Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE - secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge Cc : Fake P
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…