wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chain ni wapi wakuu

    Nimenunua Mouse, imeandikwa Made in Chian, sijui kama wamemaanisha China lakini pia sijui kama ni China imetengeneza China kweli au Kariakoo. Ila inapiga kazi.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini jimbo la Kawe limetoka kupelekewa miradi mikubwa ya maendeleo badala yake linapelekewa jezi za mpira? Tunakwenda wapi kama Taifa?

    Kuna majimbo ambayo tunapaswa kuwainua wananchi kwa kuwapelekea sukari na maziwa na majimbo ambayo tunapaswa kupeleka miradi kuboresha miundombinu hili uzalishaji ukue Jimbo la kawe ni jimbo la kimkakati katika nchi ambalo lina jamii ya daraja la kwanza. Jimbo kama lile linahitaji zaidi lami...
  3. JamiiForums Tanzania Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

    Amani ya Bwana wetu mpendwa Yesu Kristo iwe nanyi. Leo naomba kuwauliza wale wapotoshaji na wazandiki fc! Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa sijui Bandari zote kapewa mwarabu zimeishia wapi? Wale wengine WARAKA FC mbona hatusikii tena waraka wa upotoshaji na uongo ukisomwa kwenye vigango na...
  4. JamiiForums Tanzania Otea wapi hapa?

  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa Lissu, habari na Propaganda CHADEMA mko wapi?

    Habari za mwisho tokea eneo la tukio kumhusu mwamba huyu nguli wa siasa: "Yeye na wenziwe walikuwa wamefunga njia. Hapiti mtu kwani hata hao wamezuiwa isivyo halali." Sasa kitengo chetu cha habari na propaganda kipo kimyaaa ...! Nini kinaendea eneo la tukio? Sisi tulioko Lindi, Tarime au...
  6. JamiiForums Tanzania Otea wapi hapa?

  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wapo wapi Lema na Sugu?

    Seke seke la bandari linaficha mengi na makubwa yanayoendelea CHADEMA. Nawaomba msichangie kwa mihemko , leo nawapa starter hii hapa chini. Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya chama .Imepelekea Kugomea mikutano ya chadema inayoendelea nchini ya kudai Katiba mpya na kupinga...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Mwingi unapigiwa Wapi?

    Huko kwenye Nishati wala sijautafuta sababu kinachoendelea hata kipofu asiyeona anasikia... Nikajaribu kuutafuta kwenye Kilimo; ila sintofahamu za kuuza na kutokuuza, vyakula kupanda bei na hali ya mkulima (peasant kuendelea kushuka) sidhani kama utakuwa huko.... Lakini nadhani upo kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

    Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100! Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja? Kuna nini hapo katikati?
  10. JamiiForums Tanzania Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

    Hello Wadau!! Naenda Moja kwa Moja kwenye topic. Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona...
  11. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bwawa Jijini Dodoma Umefikia Wapi kwa Maendeleo ya Kanda ya Kati?

    Wakuu Kama mada ilivyowekwa mezani kwa utaratibu wa swali nikiwa miongoni mwa wananchi wa Tanzania ambao pia eneo la Dodoma, Singida, Manyara Na Tabora ni mojawapo ya sehemu ninazoweza kutembelea lakini pia wakazi wa maeneo hayo pamoja na serikali kuu mradi huu wa ujenzi wa bwawa kubwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
  13. JamiiForums Tanzania Wandelwe ni kabila la wapi?

    Habarini zenu Leo katika pitapita zangu huko mkoa wa Morogoro maeneo ya Ifakara ndanindani nikamuuliza mwenyeji wangu yeye ni kabila gani? Akajibu ni Mndelwe, nikashangaa ndio kwanza nalisikia leo hili kabila sijui wametokea wapi hawa sijui ni wahamiaji haramu? Mwenye kulifahamu ili kabila...
  14. JamiiForums Tanzania Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

    Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk. Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za...
  15. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mzee Abdallah Salum, aliyejiitaga Mtume kule Mkuranga?

    Miaka ya 2000 nakumbuka kipindi hicho Sheikh Nurdin Kishk alikuwa kiboko ya bidaa basi nikawa napenda sana kuangalia kanda zake. Siku hiyo kwenye 2008-2009 nikaenda Dar kurudi nikarudi na cd za mafungu za kutosha nikawa naangalia kwa kina fulani ambaye ni rafiki yangu wa damu Miongoni mwa kanda...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

    Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika. Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Powerful Laptop (Mobile Workstation)?

    Nahitaji laptop powerful iwe; 1. DELL au HP 2. 15 inch screen size and above 3. Numeric keyboard 4. 11th generation and above 5. Minimum Core i7 Wapi naweza pata?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

    January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi. Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete. Mwenye ushahidi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Wako wapi wakuamini vijana

    ATI HATUJIELEWI Hatujishughulishi Na mnatujaji Hatuna mitaji Nyie wafujaji Manayajaza matumbo yenu Mtumba mitumbani Tunalipa kodi Bila ukaidi Nyie mwafaidi Mazingira yetu bado duni Shamba ni mkombozi Mbolea zauzwa Mbegu zinauzwa Maji yanauzwa Bila pesa hakuna mavuno Ajira ni kubeti 1 kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

    Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi? Nje ya mada Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…