wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwakumbushe: Mch. Gwajima ulitoa ahadi. Je, greda jembe kati lipo wapi?

    Video inajieleza. Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi? Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025? Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
  3. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoriki linaelekezwa wapi ikitokea Papa kapingana na maagizo ya maandiko

    Kauli za Papa akiwa kwenye kiti chake cha mamlaka ni Extracathedral (hazipingiki wala kazigeuziki). Hii ndio sababu unapaswa kuwa makini kujua kauli amezitoa akiwa wapi? Mfano kuna kipindi alitoa kauli tata akiwa anahojiwa kwenye ndege baadhi ya wananzuoni wa kidini wakatetea kusema hayo ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mchezaji wa Singida FG Thomas Ulimwengu?

    Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars. Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba...
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Watumishi waliochepusha Mapato ya Halmashauri ya Mbeya imefikia wapi?

    Tuliambiwa humu na kwingineko kwamba Watumishi wale watafikishwa Mahakamani, tena tuliambiwa katika lugha iliyojaa Mikwara hasa, tukajua hakika wezi wale watakiona cha moto! Sasa baada ya Kimya kizito kutanda, sisi wananchi tumerudi tena kuulizia ilipofikia kesi hiyo kabambe. Naomba kuwasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania 4R ni wazo la nani? Limetoka wapi?

    Sijafuatilia huu mjadala,nilikuwa off-line siku chache. Hili wazo la 4R sikuipata,ni nani mwanzilishi wake? Ni wazo la Ikulu? Ni wazo la Rais Samia? Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuilding. Ni falsafa imetoka wapi? Is it capitalist political theory,au socialism,au imetoka katika Sunnah...
  7. JamiiForums Tanzania Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huyu nguli wa sheria JF kwenye jukwaa la sheria yuko wapi: Dragoon

    Amepotea kabisa jukwaani na jukwaa alilo liasisi limekufa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Sukari imeadimika nchini, imekwenda wapi?

    Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?. Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji. Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
  10. JamiiForums Tanzania Graphics hizi shida ipo wapi?

    ...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lema yuko wapi?

    Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
  12. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) mko wapi?

    Siku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi. Hii ni tarehe 1 January 2024.
  13. JamiiForums Tanzania Unafurahia mwaka mpya ukiwa wapi ndugu mwana JamiiForums?

    Wengine mwaka mpya umetukuta hapa small New York, ni mwendo wa kujipongeza kwenda mbele. Nawatakia mwaka mpy wenye mafanikio, baraka na maendeleo ya kweli ndugu mwanaJF mwenzangu.
  14. JamiiForums Tanzania Milioni 150 Rais Samia kaipata wapi?

    Hizi pesa zote Mil.150 Rais kapatia wapi za kugawa hovyo ? Moja ya kazi ya Rais wa JMT ni kusaidia kusambaza dini? === Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakosali Mwenyekiti wa CHADEMA...
  15. JamiiForums Tanzania Wako wapi member hawa?

    Habari wadau WA jukwaa hili la MMU, tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015 1) lara 1 2) Watu8 3) AshaDii 4) Mtambuzi 5) FaizaFoxy Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto...
  16. JamiiForums Tanzania Channel ya Dizzim Online ilipotelea wapi?

    Miaka ya nyuma kidogo baada ya Wasafi TV na FM kuingia mjini, basi Dizzim online nayo ikafata na kuingia mjini na mbwembwe nyingi wakifanya interviews bab kubwa na mambo kadha wa kadha. Maendeleo yalizindi kukua na kupelekea kufungua kituo cha TV na Radio na kuoneshwa kwenye Ving'amuzi...
  17. JamiiForums Tanzania Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

    Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa. Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina kwa Ukraine ili kipigo kwa Urusi kiwe ni cha haraka. Misaada ya Marekani imekuwa ikitolewa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

  20. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi instander apk iliyo stable?

    Habari wakuu nilikuwa natumia instander(clone ya instagram) kwa muda sasa, Hivi karibuni imeanza kuomba update lakini kila nikiupdate sifanikiwi kuupdate, Hatimaye nikaamua kuuniinstall ili nidownload latest version lakini kila ninayoipata inafail naambiwa "there is error with this package"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…