wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Namuulizia aliyekuwa Waziri wa mkapa, Basili Mramba yuko wapi?

    Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe, Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
  2. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Huyu mdau muhimu yupo wapi? Isije ikawa amepotezwa

    Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo. Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya. johnthebaptist upo wapi chifu?
  3. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hawa majenerali (jenero) wa vikundi vya kijeshi vya DRC wanasomea wapi?

    DRC wana vikundi tele vidogovidogo dizaini ya M23 vingi vikitumia maaskari watoto. Kila kikundi utasikia wana Jenero wao. Hivi hawa majenero wanasomea wapi hadi wanafuzu kupata huo ujenero au wanajipachika tu hayo majina?
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mwashambwa na Raraa Reree wamepotelea wapi?

    Hawa jamaa ni kama wamepotea ghafla. Au wamekula Ban?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania hata wabunge na viongozi walalamishi! Sasa tunaenda wapi?

    Imefika wakati kila mtu anajua tatizo lakini ni hao hao wana lalamikia utaratibu wetu cha ajabu ndiyo hao hao wanatakiwa kubadilisha utaratibu! Huwezi kulalamikia mifumo kila siku
  6. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

    Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara. Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao? Je kuna waliosahaulika hapo?
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Edibily Lunyamila - Moja ya wachezaji bora Nchi iliwahi Pata. Yupo wapi?

    Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji. Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji tunapiga mtu goals kiukweli kweli. Si masikhara.
  8. The Transporter

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi kwa kupata cover bora za computer kwa DSM

    naomba msaada sehemu au mahali gani naweza kwenda kubadirisha cover ya Laptop kwa DSM ,Nina changamoto laptop HP imedondoka .
  9. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

    Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wazee hivi huyu msanii trey Songz anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwasha sana

    Huyu mwamba alikua anatoa ngoma Kali sana Sasa hivi naona amestop kutoa ngoma na Mimi ni shabiki yake Sasa najiuliza jamaa anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwashaa sana tu Sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini Kwa huyu mwamba
  11. musicarlito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda anapata wapi pesa za matamasha na shughuli kama za kulisha watu wote wa Arusha Nyama Choma?

    Wasalaam Bila shaka kama kusingekuwa na makandokando yanayosemwa au kutuhumiwa,pamoja na kauli yetu ya kukiri udhaifu.."binadamu hajakamilika"...lakini basi lau tukachukua katika mizania mtu kama mhe.Antony Mtaka angekuwa anafanya kazi hizi za Makonda...basi Mhe.Paul Makonda ni kiongozi bora...
  12. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi pesa inapatikana wapi?

    Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi? Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi Karibuni
  13. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Mzimu Wa Ziwa Tanganyika

    Je! aliibiwa?: wakubwa shkamoni wadogo abari zenu mabinti mambo zenu. Nakusogezea kisa hiki cha kusisimua kuhusu Mzimu wa Ziwa Tanganyika. Moja ya sababu ya maji kujaa na kuharibu mali za watu ni ukumbusho kutoka kwa Mzimu huu kwasababu wahusika waliacha kuutambika mzimu wa Ziwa Tanganyika...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GSM tutaendelea kuwepo na tutadhamini teams nyingi zaidi ili ligi iwe nzuri: Hawa wazee wa wapi hawa?

    Toka tumeanza kudhamini teams nyingi ligi imechangamka sana. Tunaona ubora ulivyo kwetu. Sasa ninyi hamtaki why?
  15. O

    JamiiForums Tanzania Wavumbuzi bora wa Afrika wanaowania Tuzo za Uhandisi 2025. Tanzania tunakwama wapi?

    Wavumbuzi 16 kutoka nchi saba za Afrika wanawania Tuzo ya Ubunifu katika masuala ya Uhandisi Afrika kwa mwaka 2025 ambapo nchi 30 zilituma maombi. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2014, na ni tuzo kubwa zaidi ya ubunifu wa uhandisi barani Afrika, ikitoa ufadhili, uongozi, na mafunzo ili kuwasaidia...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mh Gwajima Mbunge wa Kawe umefikia wapi kuhusu hii ahadi yako ?

    https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je 'Mungu' yuko wapi?

    Dini zinasema kuwa Mungu anaishi mbinguni. Hapo hapo, zinajipiga mtama na kusema kuwa Mungu yuko kila mahali. Nyingine zinasema eti Mungu ametuumba kwa mfano wake! Je mashonga, majambazi, chawa, madikteta, wauaji, wanyang'anyi, na wabaya wote, nao wameumbwa kwa mfano wa Mungu? Dini zinasema...
  18. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Tajiri Ufaransa hataki kuondoka nchi maskini

    Emanuel Macron " Tunahitaji kuimarisha urafiki na ushirikiano wetu na Captain Ibrahim Traore wa Burkina Bee huku tukiendelea kumshawishi Ufaransa kujenga Kambi zetu za Kijeshi nchini kwake" Ibrahim Traore " Umekuwa na marafiki wengi Ulaya Kama Canada,USA, Ujerumani, Uingereza tuoneshe ni wapi...
  19. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapa huduma ya usafirisha mizigo kutoka South Africa to Tz

    Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania siyo nchi ya viwanda, kila uchao serikali inanyanganya mashamba na kuyakata viwanja, kesho watu watalima wapi? ajira zao zitatoka wapi?

    Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja. Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
Back
Top Bottom