MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,063 Reaction score 43,438 Apr 1, 2025 #1 Hawa jamaa ni kama wamepotea ghafla. Au wamekula Ban?
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 22,671 Reaction score 47,392 Apr 1, 2025 #2 Wewe mama hujui alikoenda chawa wako Luka? Acha kutuchora bhana.
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 14,326 Reaction score 40,588 Apr 1, 2025 #3 Luka bado anabubujikwa na machozi ya furaha. Raraa reree sijui kapotelea wapi. Labda kwa sababu watu wameanza kugeza ile tabia yake ya ku-like kila comment nae kaamua kutulizana
Luka bado anabubujikwa na machozi ya furaha. Raraa reree sijui kapotelea wapi. Labda kwa sababu watu wameanza kugeza ile tabia yake ya ku-like kila comment nae kaamua kutulizana