The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.
Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho?
Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio...
LUHAGA MPINA yuko wapi? tangu amezungumza na watanzania hotuba ya masaa 7 kuhusu mambo ya Kodi na kuibua madudu kila sekta hajaonekana hadharani hadi sasa Je yuko wapi?
Kwa wasioelewa maana ya no fap ni kukaa kwa muda fulani ambao wewe utajipangia bila kufanya tendo la ndoa ama namna yoyote ile yakukufanya utoe mbegu!.
Sasa humu jukwaani watu walianzisha uzi wa no fap na wakaanza kuhesabiana!, ulianza kwa spidi lkn cha ajabu watu wamejilamba naona!, zoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms
Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu.
Kweli muda unakimbia sana.
Mshana Jr
Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili,
Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri...
Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) watapiga kura jumamosi kumchagua mwenyekiti wa Commission hii. Kwa wanaojua alivyosaliti mapinduzi yaliyolenga kumuondoa mwizi Ruto, Raila anakashifiwa na wakenya kwa kuwa msaliti na nyemelezi mkubwa. Tumuombee ashindwe ili ima kiumane au tuone atakwenda wapi baada...
Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu na heshima
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Hawa makocha baada ya kupigwa na Yanga walitimuliwa wote Kwa nyakati tofauti, hadi Leo hawajulikani wapo wapi? Labda wapi makwao wakilea wajukuu
Yaani hao makocha hawana hadhi hata ya kufundisha championship
Yanga ndo timu inawapa platform coaches, wanakuja Yanga wanapata jina na kuaminiwa na...
Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana...
Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana.
Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi?
Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu. Nilitumiwa WhatsApp
😭😭😭😭
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.