Tajiri Ufaransa hataki kuondoka nchi maskini

Clayton Paul

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
2,250
Reaction score
4,773
FB_IMG_17429286810154354.jpg
Emanuel Macron

" Tunahitaji kuimarisha urafiki na ushirikiano wetu na Captain Ibrahim Traore wa Burkina Bee huku tukiendelea kumshawishi Ufaransa kujenga Kambi zetu za Kijeshi nchini kwake"

Ibrahim Traore
" Umekuwa na marafiki wengi Ulaya Kama Canada,USA, Ujerumani, Uingereza tuoneshe ni wapi katika nchi hizo ulijenga Kambi zenu ? "

Mtu anaekusema wewe ni maskini ila ukimfukuza hataki kuondoka huyo ndio maskini ?
 
View attachment 3284009Emanuel Macron

😁😁😁😁😁😁😁
 
Hii nchi wakikaribisha race nyingine basi wajiandae kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe...Bora wakabaki na msimamo huo hio.
 
View attachment 3284009Emanuel Macron
" Tunahitaji kuimarisha urafiki na ushirikiano wetu na Captain Ibrahim Traore wa Burkina Bee huku tukiendelea kumshawishi Ufaransa kujenga Kambi zetu za Kijeshi nchini kwake"

Ibrahim Traore
" Umekuwa na marafiki wengi Ulaya Kama Canada,USA, Ujerumani, Uingereza tuoneshe ni wapi katika nchi hizo ulijenga Kambi zenu ? "

Mtu anaekusema wewe ni maskini ila ukimfukuza hataki kuondoka huyo ndio maskini ?
Ufaransa ni kirusi. Makoloni yake anaynyonya kama kupe
 
Jamaa mwamba Sana tunamuombea Kwa MUNGU awe na maisha marefu ili awafundishe viongozi wengine wa Africa namna ya kuongoza nchi
 
Dogo nakubali but hatafika mbali . West Wana mbinu za kijasusi za ovyo sana kuhakikisha anguko la maadui zao
 
Mabeberu ni ya hovyo sana hayajawahi kufeli yanawezana yenyewe kwa yenyewe kama yanavyonyooshana huko Ukraine 🇺🇦
 
Back
Top Bottom