The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Wakuu
Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling laki 1 kwa wakt ule.cha ajabu hizo perfume sikuwahi wala kuziona madukani.
Hivi ziliishia wapi?
Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu.
Walichokifanya...
Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona.
Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani.
Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
Miaka ya nyuma, sindano baada ya matumizi zilikuwa hazitupwi. Zikitumika zinachemshwa kwenye maji ya moto kama inavyoonekana pichani na baadaye hutumika kuchoma tena watu wengine. Sindano inatoka kwenye sufuria huku maji yakiwa moto balaa.
Nakumbuka kuna kipindi bro alikwenda shule na wakapewa...
Friends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.
Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu
Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
karibuni
kuacha
kuacha pombe
kujenga tabia mpya
kujiboresha
kujitambua
life habits
maamuzi ya maisha
maendeleo binafsi
mafanikio binafsi
motivation
nafsi
nguvu ya akili
nyingine
pombe
psychology
sayansi ya tabia
self improvement
tabia
tabia njema
tunakwama
ubongo wa binadamu
umalaya
wapi
Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza.
Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi.
Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
account
asubuhi
bila
giza
hatua
hatua kwa hatua
inavyofanya kazi
jinsi
kazi
m-pesa
mbili
milioni
mtu
nani
nguvu
nguvu za giza
pesa
tuelimishane
uthibitisho
wapi
Ulitutangazia kuwa serikali imetoa bilioni 15 kujenga kipande hicho cha barabara. Mchina/MKANDARASI alikuja siku mbili tu, akaweka mambo/vijiti pembeni kuainisha upana wa barabara na vifusi kama 50 akaondoka. Hajarudi tena
KULIKONI?
Bonge la mchezaji. Ni kitambo sasa hasikikiki. Mpaka naanza kujiuliza amefia wapi kimpira? Au tayar tushamuuza kimya kimya?
Tunahitaji kumwona akisakata gozi huyu bwana mdogo mwenye kipaji chake
Mapendo Daima.....
Hiki kitu Huwa najiuliza mara nyingi sana Kila akipatikana mtu wa aina hii serikali huwachukua na kwenda nao na Huwa sijui inawapeleka wapi na kamwe Huwa hawarudi maisha Yao yote.
Kuna tukio lilitokea Gaita kijijini miaka kadhaa imepita nikiwa Moja ya mashuhuda wa tukio...
Friends and Our Enemies,
GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake.
Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha .
Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo .
https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu.
Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
afrika
afrika mashariki
george
hali
hali mbaya
jimbo
kanisani
kenya
kidogo
kujeruhiwa
kupigwa
kwenda
mashariki
mbaya
mbunge
mbunge atekwa
mbunge wa kenya
mji
mkewe
nchini
nje
shambani
utekaji
wako
wanaharakati
wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.