wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
  2. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Kukimbilia siti za daladala au mwendokasi ni akili za wapi?

    Daladala inakuja kituoni unakuta mzee anagombania mlango kuwahi siti alafu cha ajabu anashuka kituo cha 10. Kugombania siti kwa mzee kunawafanya wadharaulike na vijana ndo maana kijana akimuonq mzee kasimama hawezi kumpisha na Waleed wanatamani tuwapishe. Baba mkwe nilimwona anagombania...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hii kitu naipata wapi

    Naitafuta sana na Nahitaji anaejua aniambie au Tz zinaingizwa kimagendo maana nilikunywa siku 1 tu
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    Swali hili limekuwa ni kitendawili kwa wanadamu wote: Mtu akifa, anaenda wapi? Maandiko ya kale ya Henoko 22:18–26 yanatupa picha nzito ya safari ya roho baada ya kifo. Hebu tusome kwa pamoja: 18 Kutoka hapo nikaenda mahali pengine, mlima wa mwamba mgumu. 19 Na ndani yake palikuwa na mashimo...
  5. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Wenye Gonorrhea ,Kaswende na Klamidia mutaiweka wapi sura zenu

    Wanasayansi waja na kondomu ambazo zinabadilika rangi pindi inapo gundua kama una maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na kaswende. Wanetu mtaacha ndala🩴
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo Asanten sana LONDON BOY
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Arumeru-Arusha umeme mmeupeleka wapi? Tuko gizani tangia asubuhi, mbn hakuna taarifa?

    Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

    Gwajima katandika sana leo. Hoja zake kubwa ni: 1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa. 2. Serikali ifungue makanisa in 10 days. 3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima anaongea Kiswahili cha wapi?

    Anavyoongea kiswahili chake utadhani si msomi? Neno kura yeye hutamka kula. Angalia spech yake ya jana. https://youtu.be/ApwVq9JJww4?si=bE11Rfya8oU5QgJx
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chacha Pius (Migungani-Bunda): Uko wapi?

    Mwaka 1985 nikiwa mahabusu pale Bunda, ulinisaida wewe na familia yako mara baada ya kujidhamini mimi mwenyewe mahakamani (Hakimu alikuwa anaitwa Monica). Ulinichukua hadi nyumbani kwenu. Nililala usiku mmoja. Ulinitafutia nauli ya kusafiri hadi nyumbani Tarime. Wakati huo nauli ilikuwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Haji Juma Omar: Mishahara Midogo kwa Walimu inachangia wengi wao kuishi kwa madeni

    Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha kutafuta kazi nyingine za kuwaingizia vipato ili kuweza kujikimu. Akizungumza katika Mkutano Mkuu...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Gwajima kafia wapi au kamezwa na Polepole?

    Pamoja na makeke na mbwembwe zake, Gwajima anaonekana kutoweka kwenye ramani ya dini na siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona hafurukuti tena kama mwanzo? Je kamezwa na Polepole au polepole anatoweka kwenye ramani ya Tanzania baada ya kujichanganya akidhani angeweza kuitapeli CCM asijue...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nitakinukisha, NItakinukisha, Nitakinukisha, Nitafanya Uasi, No Reforms No Elections, Kiko Wapi?

    Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

    Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
  15. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata haya masweta

    Ninahitaji haya masweta white plain wapi nitayapata dar
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa kodi

    Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa wapi? Kodi za TRA Kukwepwa, usalama kuwaogopa na kukwepa kodi kutawasaidia bei ya vitu vyao kuwa chini na kuwafanya wapate pesa zaidi
  17. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Arusha ninaweza kujifunza lugha ya kichina?

    Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha. Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Msanii Besta yupo wapi?

    Hapo zamani si sana, katika anga za burudani za Tanzania, kulikuwepo na dada mmoja ambaye jina lake likitajwa, kila mtu alikuwa na simulizi lake. Sio tu kuimba, bali hata alipokanyaga jukwaani kwa kucheza, watu walibaki mdomo wazi. Hakuwa kama hawa watoto wa 2000 ambao hurukaruka tu na bado...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
Back
Top Bottom