Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,519
- 4,586
Unataka kuanzisha kilimo cha bange cha umwagiliaji ?Msaada wakuu wapi nitapata trekta right hand drive? Yoyote anafaham anicheck PM inbox.
Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa.
adriz
Kama sio kwa ajili ya bange nicheki PM , MarrassMbuss !!Unataka kuanzisha kilimo cha bange cha umwagiliaji ?
Right hendi mkuu. Steering on the right.Hili levi nini mbona tractor zote ni centre drive au unamaanisha upande wa gearleaver
Hata Mimi nashangaa!Yale madude si yanakuaga centre au?
Mkuu samahani kwa uzoefu wako nikiwa na kiasi gani cha pesa napata trekta kibaigwa?Kibaigwa yapo ya kutosha yanauzwa