The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Zamani za kale walikuwa wanawasingizia wanawake wa eneo wanaokula ndizi kwa saana.
Nimeshangaa nilikuwa kwenye kijiji kimoja mabinti wa kisukuma wanakodi vyumba vya gesti na wanachobakiza ni kujiuza na kufanya umalaya.
Kuuliza nikaambiwa eti ni kawaida yao karibu senta zote eneo la wilaya hiyo...
Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza...
Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani
Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni nazo mbali.
Sehemu nilipo kumeanza mgao wa umeme, Siku ya jana (Jumanne) nikaingia Facebook...
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania.
Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
Habarini humu ndani
dharau, kejeli na matusi yamekua nimengi sana mtaani. nimeamua kuzima zote kuwasha moja tu.
Kelele zimekua ninyingi sana mtaani kuhusu kupata utajiri kwanjia ya kiganga (nazo pia zimekua ngumu kupata)
NAHITAJI CONNECTION MOJA TU YAUHAKIKA YAKUNIFANYA NIPATE HIZO PESA...
Leo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum?
Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend tu, itakuwa Breaking News itakayowafanya malaika wote washangilie.
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni...
Koo langu linawasha washa sana mida hii, wapi kuna vaibu nzuri ya muziki, nyama choma, totozi na vinywaji murua vya kulainisha koo?
Nipeni chimbo wakuu, la kuburudika na kurusha rusha miguu, ndio 8 8 tunaianza hivyo; asiyelima na asile.
Hii kifaa inaitwa VR BOX,
Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
Ndugu zangu watanzania ukweli Leo nimebubujikwa na machozi mengi ya furaha baada ya kuona Wana JamiiForums wenzaungu wamenisamehe na kuniona mi ni mwenzao na ukweli nimetubu dhambi zangu mana nilikuwa nimechagua njia ya uovu na Sasa nimerudi kwenye njia ya haki na naimani sitapotea Tena ndugu...
Some random menu items. Especially important. For individuals. Aspiring a balance. Healthy longevity. Keeping the sanity
Intentional cold shower in the morning
A glass of hot water before sunrise
Eating only once per day
A mindful 1 hour walk every evening
1 day per week without technology...
Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina
Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
Miaka ya 1990 kurejea nyuma, wanaume tulikuzwa na familia zetu kuwaona wanawake kama viumbe wa kuwalinda na kuwajali sana.
Hii haikuwa Tanzania tu bali ulimwenguni. Ukitazama filamu,wanaume walikuwa wakisalimia wanawake wanawavulia kofia na kuinamisha kichwa kidogo na kuwaita majina ya heshima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.