What is VfX?Ujaelewa nn hapo jamaa
Issue ni kwamba hy ni teknolojia ambayo sidhani kama Afrika ipoTatzo ina mambo mengi mno
Gharama ni kikwazo lakini siyo kikwazo kikubwa kiasi hicho. Unaweza kutengeneza cool VFX kwa gharama ndogo mno na ukapendezesha movie yako au video kwenye muziki. Ni kucheza na ubunifu tu. Nadhani sehemu ambayo waafrica itatupa shida sana kwenye VFX ni kwenye kutengeneza realistic CGI's. Hapo kama huna team na vifaa vya maana hutoboi.Sijawai sikia ata kumpun moja na gharama yake nayo ni changamoto kwa nchi zetu za kiafrika
Ndio tukisikia bajeti ya Movie flani imezidi bajeti ya Tz tusishangaeSijawai sikia ata kumpun moja na gharama yake nayo ni changamoto kwa nchi zetu za kiafrika
Bongo wanajua kuweka graphics tuu bc hapo anajiona anajua kupitiliza, kwenye movies 1000 za Bongo utapata movie 0.1 ina Green effects 😂😂😂 wakati green effects unajifunza Hata YouTubeGharama ni kikwazo lakini siyo kikwazo kikubwa kiasi hicho. Unaweza kutengeneza cool VFX kwa gharama ndogo mno na ukapendezesha movie yako au video kwenye muziki. Ni kucheza na ubunifu tu. Nadhani sehemu ambayo waafrica itatupa shida sana kwenye VFX ni kwenye kutengeneza realistic CGI's. Hapo kama huna team na vifaa vya maana hutoboi.
Bro, hapo kwenye gharama sina uhakika sana ila moja kati ya vitu vinavoipa thamani movies za wenzetu ni hy VFX, kuna movies mwanzo mpaka mwisho ni VFX tuu halafu unaambiwa bajeti ni Tsh 50T na ukiangalia hy movie kweli ww mwenyewe unaifurahia, kwahy kwa vyovyote vile VFX ni teknolojia ya gharama sanaGharama ni kikwazo lakini siyo kikwazo kikubwa kiasi hicho. Unaweza kutengeneza cool VFX kwa gharama ndogo mno na ukapendezesha movie yako au video kwenye muziki. Ni kucheza na ubunifu tu. Nadhani sehemu ambayo waafrica itatupa shida sana kwenye VFX ni kwenye kutengeneza realistic CGI's. Hapo kama huna team na vifaa vya maana hutoboi.
Ndo hvy mzee, achana na Bongo ety bajeti ni 5m hapo kalipa kila kitu na bado analalamika kapigwa 😂😂😂Lakin si unaona movie inakuwa na ubora japo gharama kubwa
Sisi soko la ndani sasa tumegoma kuangalia kazi zao 😂😂😂Tatzo wanatoa movie kwa kutegemea soko la ndani tu