Wapishi wa humu nawasalimu.
Napenda sana kula boga, ila upishi wangu unanikatisha tamaa, nikinunua boga kwenye migahawa huwa nakula linakua zuri linakua na unga unga kama kiazi kitamu.
Ishu sasa nije nilipike mimi, linakua lina maji maji, yani linanyonya maji sijui likiiva nikiliweka kwenye...