Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020, CHADEMA walikuwa wakilalama kwamba nchi yetu inajali maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu.
Wakawa wanaishambulia miradi kama ule wa Rufiji, SGR, Fly Overs na mingine.
CCM kama chama tawala wakatetea miradi hiyo na kusema hivyo vitu ni kwa ajili...