wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, Wakurya > kitunda, wahaya > sinza, wapemba > ilala na kigamboni, wapi tumepaacha ?

    Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, wahaya > sinza Wakurya > kitunda wapemba > ilala na kigamboni waarabu > kariakoo wapi tumesahau ??
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia takwimu za matokeo kidato cha sita, somo la physics hali ni tete. Shida iko wapi?

    Somo la Physics, somo la Physics. Je, Tz hatuna walimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana? Nakumbuka mimi pia nlivyokua nafanya mtihani wa physics, kidato cha sita, niliteseka sana kwa kukutana na maswali ambayo sikujua hata nianzie wapi kusolve. Bado namkumbuka mwalimu wangu...
  3. JamiiForums Tanzania wakati unatumia chombo hiki ulikuwa wapi?

    nakumbuka hii ndo ilikuwaga inanikera kuniamsha tu. wenzangu mlikuwa wapi au darasa la ngapi, ata kazini?
  4. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza lugha ya KIARABU

    Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha pendwa. Wapi naweza kujifunza kwa Dar es Salaam? Gharama sio tatizo. **Walimu wawe professional...
  5. JamiiForums Tanzania Na tambi nazo zimepanda bei, hii nchi sijui tunaenda wapi

    Katika hali ya kushangaza mpaka tambi nazo wamechakachua. Kabla kulikuwa na tambi 450 kwenye pakiti moja Leo nimehasabu nimukuta tambi 410 yaani pungufu ya tambi 40. Watanzania tushtukeni na jitahidi kuhesabu vitu kabla ya matumizi Kama viberiti na tambi.
  6. JamiiForums Tanzania Wezi na Wizi wa Magari umerudi kwa kasi ya 5G ni wapi tunakosea?

    Ndani ya week 2 kuna gari tano (5) Zimeibwa Tabata, Gari Mbili zimeibwa Mlimani City. Moja ya Tabata imeibwa karibu kabisa na kituo cha Polisi. Mlimani City jamaa yangu kaibiwa Toyota Crown. Naambiwa pia Kimara kuna gari mbili zimeibwa moja ikiwa imepark nje Bar na nyingine Ndani. Naanza...
  7. JamiiForums Tanzania Sticker ya "Nenda kwa usalama barabarani" naipata wapi?

    Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee muda aandikiwe faini!" Nikawabishia hasa kuwa "I'm damn sure" nimesimama kwenye taa. Always huwa...
  8. JamiiForums Tanzania Financial hub ya East Africa iko wapi?

    Financia hubs zinaza endeleza miji husika. Mipango mingi ya biashara hufanyika humo na wageni wanahitaji usafiri, malazi, chakula, kununua zawadi kwa wapendwa wao na hata nguo zinazoendana na hali ya hewa katika miji waliyofikia. Huduma hizi zote huzalisha ajira, kuanzia tax, cafe, migahawa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gymnema inapatikana maeneo gani hapa Tanzania?

    Nimekuwa nagundua vitu vizuri lakini mara nyingi sijui kama vipo TZ. Je haya majani unayajua? Yanaitwaje kwa kiswahili? Je yapo TZ. Naomba usiongee kwa kubahatisha ningependa kupata majibu ya uhakika === Gymnema (Gymnema sylvestre) is a plant native to India and Africa with a history of use in...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaonyanyaswa kisiasa na wanaume

    Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa. Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yazidi kuibomoa CHADEMA. Je, hizi nguvu wanazitoa wapi huku Tanzania bara?

    Wamebomoa ngvu ya Chaso vyuo vikuu kibao 👇
  12. JamiiForums Tanzania Wapi pazuri kuishi baada ya kustaafu?

    Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu. Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
  13. JamiiForums Tanzania London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims

    Hii vita (Ukraine vs Russia )inaonekana ndogo kwa macho madogo, lakini kwa macho makubwa inaenda kuwa kubwa!! Tuombe Mungu aiepushie mbali London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims A close ally of Russian President Vladimir Putin has warned that London will be the first...
  14. JamiiForums Tanzania Naona mmeanza 'Kujishtukia' sasa na wenye 'Akili' tunajua wapi anapapenda kuliko Maelezo

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema Rais Samia Suluhu Hassan hana makusudi ya kurejesha Makao Makuu ya Serikali jijini Dar es Salaam na kwamba ameendelea kutekeleza na kutenga fedha nyingi zaidi kwa ajili ya Dodoma kuliko maeneo mengine hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Nina Shilingi 200,000; wapi naweza kwenda kutalii kwa bajeti hiyo?

    Ndugu zangu, Nataka kwenda sehemu yoyote Tanzania nikapumzike kwa wiki moja. Bajeti yangu ni kama Shilingi 200,000/= hivi. Je inawezekana kwa bajeti hiyo? Matarajio yangu ni haya. 1. Sehemu hiyo iwe na mandhari nzuri za asili. Nataka nitembee, niexperience maisha ya kawaida ya watu, nipoze...
  16. JamiiForums Tanzania Fedha za Elimu Bure tangu Mei 2022 zimepotelewa wapi?

    Katika hali isiyo ya kawaida serikali ya Tanzania imeshindwa kugharamia elimu bure kama ccm ilivyohaidi wananchi. Inasikitisha fedha za kuendesha shule za sekondari na msingi nchi nzims tangu mwezi May 2022 hadi sasa hazijapokelewa fedha za uendeshaji na mitihani ya ndani imefutwa kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

    Hii ni kebehi na dharau sio kwa lugha kama hii 👇
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Bata wenye mbegu bora kwa ajili ya ufugaji

    Naam, wakuu natafuta bata mwenye mbegu bora ili nije kuanzisha rasmi ufugaji wa bata wa kueleweka. Naombeni muongozo sehemu za kuwanunua na gharama zake.
  19. JamiiForums Tanzania Yuko wapi DC wetu na celebrity huyu?

    Huyu cerebrty mara ya mwisho kupost ni may 9 2022. Followers wake tulishazoea kupata habari motomoto hasahasa tangu apate u DC ila hivi sasa ukimya wake ndani ya mwezi bila post kunani?
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

    Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla. Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata. Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…