wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hili Zoezi Limeishia Wapi?

  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimfiche wapi Binti yangu?

    Dunia gunia wahenga walisema, Pilika za maisha hasa utafutaji umetufanya kuwa busy na kusahau wanaotuhitaji zaidi. Ubusy wa kazi na Safari umenifanya nisipate muda wa kukaa na familia yangu. Nina binti yangu mdogo wa miaka minne,mama yake ni mtumishi na yeye akitoka asubuhi hurudi jioni au...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini umaarufu wa Januari Makamba unashuka siku hadi siku amekosea wapi?

    Mwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora. Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tukimbilie wapi? Mtetezi wetu CHADEMA amekaa kimya!

    Bado nina Imani kubwa na Chadema. Toa neno Mh. Mbowe katika hizi vurugu za "kudanganywa "mishahara, Kingai (mbambikaji wa kesi kupanda cheo) and many other hot issues!
  5. JamiiForums Tanzania Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa. Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia nitumie android studio nikainstall android studio kwenye computer nikajaribu kutengeneza weather forecast...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nitapata Wapi Riwaya Nzuri za Zamani

    Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua Pesa za Kodi, Tozo, Misaada na Mikopo zinakwenda wapi?

    Habari JF, Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi. Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha...
  8. JamiiForums Tanzania Epl zimebaki siku 38 transfer deadline de jong atahamia wapi? Ni kitendawili

    Masaa, siku na miezi Inakatika. Timu zinasajili na kuwaacha nguli wa soka wasio na mpango nao. Miamba ya soka Ulaya wakibalamsisha kila kona. Wenzetu tunawashuhudia wakikosa timu kutokana na tabia. Namzunguzia Paul Pogba aina ya wachezaji kama Pogba wenye tabia za uchochezi timu inayofiki...
  9. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
  10. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli hii Furaha ninayokuona nayo sasa umeitoa wapi na inatokana na nini?

    Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta. MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?. Hebu shea nami basi Comrade Oky?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Hitler na wengine wanaua watu na kutesa Mungu alikuwa wapi? Wema wa Mungu unakuwaga kwenye nini?

    Kuna mambo ya ajabu sana. Ni ama tunadanganywa au hatumjui vizuri huyo anayeitwa Mungu. Kuna wakati niliwahi kusema Shetani na Mungu ni marafjki sana. Kinachotokea sisi ndio tunataka kuwatofautisha na kuwagombanisha tu. Fikiria mtu mwovu kama Hitler na waovu wengine hasa watawala wa Afrika...
  12. JamiiForums Tanzania Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Sh. Trilioni 2/- za IMF anaweza kuzitumia wapi?

    Bodi ya Shirika la Fedha Duniain (IMF) hapo jana iliidhinisha mkopo wa dola za Kimarekani Bilioni 1.046 ambazo ni sawa na shiliingi Trilini 2.4/- za kitanzania katika kipindi cha miezi 40 ili kusaidia katika kupambana na athari za viizotokana na vita ya Urusi na Ukraine. Huu mkopo Tanzania...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

    Habari wana JF, Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita. Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka mashine yangu ya kupimia pressure imeharibika, wapi napata fundi?

    Wadau hamjambo Nipo maeneo ya Mbezi beach naombeni msaada kwa mujibu wa kichwa Cha habari. Mashine yangu ya kidigitali ya kupimia mapigo ya moyo imeharibika Baada ya kudondoka chini na hivyo haisomeki vizuri. Wapi napata fundi wa haraka na aliye mjuzi? Nina mgonjwa nyumbani ambaye ni Mama...
  16. JamiiForums Tanzania Superbrand Afrika Mashariki mnakwama wapi?

    Kwanza kabisa kale kameza pale kuna siku mtu ataanguka mbele ya kamera namaanisha chumba cha kusomea habari ni kidogo geto langu kubwa Yaana hata kuna baadhi ya sebule za watu wa kawaida zinawazidi kwa ubora chumba cha kusomea habari sijui kina miaka mingapi hakibadilishwi muonekano. Cha...
  17. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata setup ya Efootball 2022?

    Wapi naweza kupata setup ya efootball 2022?
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata mbegu za Safflower au Katamu?

    Habari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
  19. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa jinsia ya kike mpo wapi hapa? Au hili ndilo mnalolitaka?

    Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...? https://www.jamiiforums.com/attachments/screenshot_20220717-142338-png.2294154/?hash=9d3296f54684a35f03edc143af85da70 Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata wino fake Canon Image Runner 1325ir

    Habari wadau, Mimi hata sitaki maneno meng in short ni kwamba nina kaz kubwa nataka kuprint ila uwezo wa kumudu wino wa laki 7 sina naombeni msaada wapi naweza kupata wino fake Natanguliza shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…