wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda kuwaza yaliyopita wala yajayo, wanaishi wakati uliopo kwa kuutendea haki

    In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita. Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience...
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, je jeshi la Polisi, TAKUKURU wanatimiza wajibu wao?

    Mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma amekuwa anatoa ripoti za ukaguzi wa matumizi na mapato ya serikali na matumizi ya serikali. Kila ripoti imejaa ushahidi tena wa kitaalam namna ambavyo fedha ya umma imetumika ama kuchezewa kupitia vote mbalimbali zilizopitishwa na Bunge. Jambo la kushangza...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Bandari zetu; Nasikilizia lakini nauona udhaifu kwa wa-Zanzibari kwa waarabu

    Hili la Bandari, kuna watu wameamini ni vita ya kidini na wengine labda ubaguzi. Je, Umewahi kusikia mwafrika mweusi akiingia U-arabu? Yaani akafanya sherehe na kutangazwa rasmi kwamba leo kawa mwarabu? Yawezekana wa-Tangayika wengi wanaifahamu Z'bar ya pale mjini na hisia za wanasiasa kuwapiga...
  4. JamiiForums Tanzania Wapo waliohitimu na ajira hawajapata, kazi nje ya utaalamu wao hawataki na hata kuiljiongeza hawapendi

    Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na...
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kulazimisha vijana wawatatulie changamoto zenu ambazo nyie mlishindwa kuzitatua kwa uzembe wenu

    Toka ujana wako wote mpaka unafikia umri huo hukujenga hata kichumba na kisebule eti unasubilia kijana wako uliemzaa asome kuanzia kindigate mpaka chuo, atafute ajira, ahangaike weee!! Ndo aje akujengee??? Aaahhh! Uzembe ulioje huo? Yaani wewe miaka yote ya ujana wako mpaka unazeeka ulishindwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Yanga wakati wanafanya usajili, Simba wao walikuwa Uturuki wanatengeneza shepu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu. Mashabiki wa Makolo wanajaribu kutembea na historia kuliko uhalisia. Wanashindwa kuamini kabisa kuwa timu yao Kwa sasa haiwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wazazi wa kikristo hawapendi watoto wao kuanza kunywa pombe ?

    Kijana kamaliza form 4 yupo likizo anasubiri kwenda chuo mwezi wa 10, wazazi wake ni washika dini kila jumapili kanisani ila cha ajabu wanamgombeza kijana wao kisa tu chumbani kwake kuna chupa za bia, kwenye pipa la taka huwa kuna vichupa vya pombe kali, mara mbilj pia kijana amewahi kufatwa...
  8. JamiiForums Tanzania Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

    Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE. Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi katika mataifa yaliyoendelea hupeleka matukio mahali wanakotokea huku wakiwa viongozi wa kitaifa?

    Juzijuzi rais kaja na kizimkazi kabla hapajapoa waziri mkuu kaja na rwangwa marathon tukiwa hatujui mpango ataibuka na nini kule Buhigwe, kabla hatujasahau yale ya tulia kula Mbeya. Nimesikia aibu sana leo baada ya waziri mkuu kushindwa kutoa hotuba inayoashiria kuwa yeye ni kiongozi wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanigeria na Wahindi wamefanikiwa sana kutambulisha utaifa wao kupitia mavazi

    Indian Prime Minister Narendra Modi shakes hands with Nigeria President Bola Ahmed Tinubu upon his arrival Sisi tunakwama wapi? Wahindi wanaona fahari sana kutumia mavazi kama njia ya kutambulisha utaifa wao, hali kadhalika wa-nigeria. Waarabu pia wako vizuri katika hili. Hivi imeshindikana...
  11. JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  12. JamiiForums Tanzania Mamia ya wanariadha wakana uraia wao Urusi na kuomba uraia wa mataifa mengine

    Jameni Putin anaachiwa liinchi, matajiri wanahama, wanariadha wanaukana uraia na kukimbilia kwingine, vijana wameitoroka nchi, maskini ndio wanaachwa kuendelea kupambana na hali...ila kila anayepata upenyo anajiondokea. PHOTO: RIA NOVOSTI Russia’s Ministry of Sport says that over 100 Russian...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Mlango Wao kila Mtu anapita kwakuwa naturally Unapitika kwanini wakipita Wanne wenye Njaa anaweza Kufa au Kuzimia?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kuelimika zaidi kutoka Kwenu Wepenyaji wa Milangoni ( kama GENTAMYCINE ) na Wamiliki hasa na Milango yenyewe husika ambayo Kiasili inasemeka huwa inapitika muda Wowote na kwa Mzigo wa aina yoyote ile.
  14. JamiiForums Tanzania Jerry Slaa aanza kulewa madaraka , adai watakaoshindwa kutatua migogoro ya ardhi atawatatua wao

    Ndio kama tulivyosema hapo awali kwamba , usimpe mtu cheo kutokana na uchawa wake , ni vema ukiangalia rekodi yake . Aliyeshindwa Umeya unampaje Wizara ? Hata wiki haijaisha , kishaanza kashfa na matusi !
  15. JamiiForums Tanzania FUFA yawakana Yanga SC na Uwongo wao kuwa Beki Gift Fred kaitwa Timu ya Taifa ya The Cranes

    "Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA) Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu. Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu...
  16. JamiiForums Tanzania Jenerali Brice Nguema: Viongozi wakiwaumiza Wananchi, Jeshi linapaswa kuwarudisia Uhuru na Utu wao

    Jenerali Brice Nguema ambaye ni kati ya Wanajeshi waliohusika katika kumuondoa Madarakani Rais Ali Bongo, ameapishwa kuwa Rais mpya huku akiweka ahadi za kurekebisha Sheria za Uchaguzi, Sheria za Adhabu na Katiba. Nguema amesema uamuzi wa kumuondoa Rais aliyekuwepo ulikuwa muhimu kwa manufaa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa wananchi na wafugaji wa Kimasai utafutiwe suluhu

    Huko Morogoro umetokea mgogoro kati ya wananchi na wamaasai, chanzo cha mgogoro ni wamaasai walipeleka ng'ombe wao mtoni kunywa maji. Maji ya mto husika hutumiwa kwa matumizi ya kila siku majumbani na wakazi wa eneo hilo, ipo sheria inayokataza mifugo kupelekwa ndani ya mto kunywa maji ili...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika hawana budi kujali maslahi ya watu wao kuliko yao binafsi, mabeberu wa nchi za Magharibi na wengineo

    Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Sasa inashangaza kwa kuwa kama ni hivyoo, kwanini alitamani kuwa Rais kwa vile jukumu...
  20. JamiiForums Tanzania Wanapenda kuongozwa na viongozi bora ila wao wenyewe hawataki kushiriki siasa huku wakijidai wao ndio bora kuliko viongozi waliowachagua wao wenyewe

    Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa. Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…