wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kutegemea vyombo hivi vya Umma ni hatari kuliko hatari yenyewe

    Mwaka fulani hapa Jijini Dar es salaam nikiwa naishi mitaa flani jirani yangu alipatwa na janga la moto. wakati tunapambana na huu moto jirani akawapigia simu zimamoto. tuliendelea kupambana na moto huo na baada ya muda mfupi (dk 50) walikuja zimamoto wakati huo kwa upande wa chini tumefanikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 6 ya Hayati Magufuli mshahara uleule, miezi 3 ya Rais Samia Suluhu mshahara wangu umebadilika

    Habari, Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana. Kwa ufupi mshahara haujaongezeka katika kipindi chote hicho. Miezi 3 tu ya Rais Samia Suluhu salary slip yangu pale juu imebadilika. Watu wa imani tunaamini kuwa mateso...
  3. JamiiForums Tanzania Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

    Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
  5. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa leo

    Picha ya kwanza inaonesha vifaranga vya ndege vikiwa hai, mama wa vifaranga hivi alitoka na kwenda huko kutafuta chakula cha kuwalisha watoto wake, lakini akiwa huko alikutana na maadui wakampiga na kumuwa. Vifaranga vikabaki vinateseka kwa njaa na baada ya muda kidogo navyo vikafa kwa njaa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kupata software za hacking, Coding, na Antivirus

    Habari za hapa na pale wana jamvi! Naombeni mnisaidie links za kupata software za hacking, Coding, na Antivirus. Kama ikiwezekana na keys zake pia mnisaidie. Nitashukuru sana wakuu wangu.
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali kuhusu kupanda bei ya mafuta

    Nawasalimu nyote. Kwanza kabisa serikali mnafanya mengi mazuri. Kuhusu suala la kupanda kwa bei ya petroli imekuwa pigo kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri kitu ambacho kinaumiza wengi. Tanzania tuligundua gas nyingi huko kusini mwa Tanzania. Nashauri serikali ianzishe na kuongeza...
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni ushamba wangu, ama?

    Amani iwe nanyi! Ndugu zangu kuna hivi vihereni vya puani, dah yaani mdada akivaa nakosa kabisa ile kuvutiwa kukaa nae hata kupiga story tuu, yaani akinipikia naweza kabisa nisile alichokipika, kuna mama nilikua mteja wake mzuri sana wa chakula chake, kuna binti mzuri tuu alimleta, aisee akaja...
  9. JamiiForums Tanzania Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

    Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi jogoo wangu akimpanda tetea wa jirani, nakuwa na haki kwenye mayai?

    Eti wakuu. Maana naona ng'ombe wanapandishia hela. Walau hawa wanalipwa. Sasa hiki la jogoo likoje?
  11. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu na Rais wangu wa TFF Karia kwa yanayoendelea Uwanja wa Songea nimekusamehe ila Kosa hili lisije likajirudia tena

    Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia. Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
  12. JamiiForums Tanzania MSaada: Mtoto wangu anapata joto kali

    Habari Doctors naomba msaada wenu, Mtoto wangu anaumwa siku ya sita mpaka sasa lakini anachoumwa ni joto kali la mwili hospital 🏥 wakipima anakuwa na 38.8 za joto na vipimo vyote wamepima Hana tatizo lolote. Lakini mama yake ana mimba ya miezi nane sasa watu wananiambia wenda ikawa joto la...
  13. JamiiForums Tanzania Sikiliza wimbo wangu mpya CHANGANYA

    audiomack.com/haitham-kim/song/changanya
  14. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Metacha 'Poti' Mnata, Meneja wako Jemedari Said atakuponza na Yanga SC 'watakuua' sasa!

    Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na tunaokupenda na Wanaokupenda tumekushauri vya kutosha na unatuona Mangumbaru (Wajinga) na Mapopoma...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kante mechi ya Ufaransa vs Ujerumani

    Mzuka wanajamvi! Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi. Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich masterclass In 26 days’ time, N’Golo Kante could hold every major honour in the club and inhternational game...
  16. JamiiForums Tanzania RC wa Dar ' Comrade ' wangu Amos Makalla jiangalie sana Suala la ' Wamachinga ' linaenda ' Kukufyeka ' usipoachana nalo

    Kamarada (Comrade) wangu mkubwa wa Simba SC na ' Misebene ' ya Wenge Musica BCBG RC wa Dar es Salaam Ndugu Amos Makalla jiangalie sana kwani unaweza ' Kufyekwa ' muda wowote. RC wa Dar Amos Makalla huu ' Mkakati ' ambao nasikia umeuanza hasa wa Kuwapangia na Kuwaondoa ' Wamachinga ' maeneo yao...
  17. JamiiForums Tanzania Nalaani kitendo alichofanyiwa mke wangu siku ya harusi yetu

    RIP Fredwaaa. Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu. Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu mbele ya wageni waalikwa. Kwani kulikuwa na shida kusubiri wageni watoe zawadi kisha tulipe deni.
  18. JamiiForums Tanzania Simba SC wala msipoteze muda kumpima akili Mkude; matatizo yake makuu ni haya...

    1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia. 2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule. Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
  20. JamiiForums Tanzania Eti watoto wangu watakuwa wamefanya makosa?

    Ndugu zangu za usiku huu nimekosa usingizi, kisa watoto wangu na dada wakazi wamekula kichani cha ndizi kilichodondoka juu ya bati letu. Kisa kilianza hivi kuna mmama mmoja nilitoka kumwambia ndizi zake ache kulemezea kwangu akakataa, sasa kuna ndizi moja ililemea ukuta wangu nikamueleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…