Ujumbe wangu wa leo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
207431802_10159309638659754_7090419878545677520_n.jpg
206768429_10159309638719754_7848063630420138192_n.jpg

Picha ya kwanza inaonesha vifaranga vya ndege vikiwa hai, mama wa vifaranga hivi alitoka na kwenda huko kutafuta chakula cha kuwalisha watoto wake, lakini akiwa huko alikutana na maadui wakampiga na kumuwa. Vifaranga vikabaki vinateseka kwa njaa na baada ya muda kidogo navyo vikafa kwa njaa na kubakia mifupa kama unavyoona kwenye picha ya pili.
UJUMBE WANGU.
Unapo mfanyia mwenzio kitu kibaya ujue umewafanyia na wale wanao mtegemea. Wanaweza wakawa ni watoto, wazazi, wagonjwa ama wanafunzi wanaotegemea kulipiwa ada na mtu huyo.
Hivyo basi kabla hujamfanyia mwezio kitu kibaya kumbuka kuwa kunawatu wanamtegemea na uwepo wake ni mhimu sana kwa watu hao.
 
Dhambi aliyofanyiwa huyo mama wa hao ndege, marehemu dikiteta fulani aliifanya Mara elfkumi yake.
 
Shukrani,ujumbe mzuri Sana
View attachment 1837316View attachment 1837317
Picha ya kwanza inaonesha vifaranga vya ndege vikiwa hai, mama wa vifaranga hivi alitoka na kwenda huko kutafuta chakula cha kuwalisha watoto wake, lakini akiwa huko alikutana na maadui wakampiga na kumuwa. Vifaranga vikabaki vinateseka kwa njaa na baada ya muda kidogo navyo vikafa kwa njaa na kubakia mifupa kama unavyoona kwenye picha ya pili.
UJUMBE WANGU.
Unapo mfanyia mwenzio kitu kibaya ujue umewafanyia na wale wanao mtegemea. Wanaweza wakawa ni watoto, wazazi, wagonjwa ama wanafunzi wanaotegemea kulipiwa ada na mtu huyo.
Hivyo basi kabla hujamfanyia mwezio kitu kibaya kumbuka kuwa kunawatu wanamtegemea na uwepo wake ni mhimu sana kwa watu hao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom