Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu halafu unanitukana eti nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha!

Mzigo nilikuwa nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitoridhika Ila nataka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake za watu kwa dharau.

Na wife wangu ujiangalie sitokuacha hivi hivi you will pay for it.

Mimi na Watoto wangu hawawezi teseka halafu watesi wao wakala bata tuu.
 
Binadamu tupo wa aina nyingi sana yaan kuna watu starehe yao kugonga wake za watu tu 😠😠😠
Halafu wanawake nao inakuaje mke wa mtu unashoboka na wanaume nje ya mumeo
 
Bora niteseke jela kuliko jinsi nnavyoumia moyoni
Ukijifikiria wewe peke yako ukawasahau watoto ambao maskini wala hawana taarifa kama kuna mtu kachepuka,
wakajikuta wewe upo jela ya serikali,wao wapo jela majumbani kwa jamaa zako wanalazimika kulala na shamba boy
maana vyumba havitosi.nakwambia mateso yao yatazidi ya kwako mara mia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom