Mke wangu hajableed takribani miezi mitatu

SACO

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
2,318
2,912
Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu.

Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa dawa flani sikumbuki za kusafisha. Tatizo ni kuwa mpaka sasa hajableed takribani miezi mitatu kasoro na tunaendelea kubinuka kama kawa.

Ninachouliza ni kuwa kama anaweza kupata ujauzito bila kupata hedhi? Na kama ameshapata haiwezi kuleta shida tena?.. naomba sana ushauri wenu wadau
 
Anaweza kuwa alibleed na mimba haikutoka, au ndio umeshaweka nyingine
Aende hospitali kwa vipimo na ushauri
 
Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu.

Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa dawa flani sikumbuki za kusafisha. Tatizo ni kuwa mpaka sasa hajableed takribani miezi mitatu kasoro na tunaendelea kubinuka kama kawa.

Ninachouliza ni kuwa kama anaweza kupata ujauzito bila kupata hedhi? Na kama ameshapata haiwezi kuleta shida tena?.. naomba sana ushauri wenu wadau
Anatumia kijiti kile cha uzazi wa mpango?
 
Kweli nimepima kwa UPT imo, nataka abebe kwa uangalizi wa daktari

hizo UPT sio za kuziamini 100%,

hapo kuna mawili either Mimba imetoka ila haijatoka vizuri so hicho kipimo (UPT) bado kinasema +ve,

au Mimba ilitoka vizuri mlivyoendelea kukutana akashika mimba tena.

vizuri kufika Hospitali na kufanya vipimo zaidi kuepuka matatizo makubwa zaidi kama “ectopic pregnancy”
 
Ni Rahisi sana kwa mwanamke anapopata "miscarriage" kushika mimba kwa haraka nimeshuhudia kwa watu zaidi ya wanne
 
Back
Top Bottom