Ushauli wangu baada ya brother Philip kuchukua nchi

Ushauli wangu baada ya brother Philip kuchukua nchi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
24,931
Reaction score
44,939
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

1, afute uchaguzi
2, amwachie tundulisu haraka sana na wafungwa wote wa kisiasa
3, katika mpya
4, asifukue makuburi aanze upya kwa upendo mpya , sisi tumesamehe yote
5, ahakikishe watanzania wote wenye asili za nje wanakuwa raia rasimi
1, watanzania wenye asili ya ulaya, marekan, uarabun na India wote wanakuwa raia bila mashariti yeyote na waruhusiwe kumiliki ardhi waje wafanye uwekezaji kwenye taifa lao, kwa sababu hata tukiwazuia hawa bado ardhi tunawaudhia wageni hivyo si vyema
6, Abdul afungwe jela au atupwe porin kwenye wanyama wakali wengine wote wasamehewe ila huyu asisamehewe , kikwete asemehewe ila Abdul anyongwe katuangusha kabisa vijana
7, diaspora wawekewe mazingira mazuri ya uwekezaji na waje wawekeze
8, akamilishe yote kwa miaka 3 Kisha tume huru then uchaguzi

Asante mpango nakutakia majukumu mema

SAYUNI BOY
 
kuna jamaa mmoja wa singida anaitwa Elibariki Kingu, that guy is a killing machine, ameshawapoteza wengi Sana, kuna jamaa mmoja aliugua mda mrefu hospital na alisema kabisa kingu na watu wake ndiyo walionipiga na kunifanya kilema, mwisho wasiku akaja kufariki
 
Screenshot_20251005-175138.png
 
kuna jamaa mmoja wa singida anaitwa Elibariki Kingu, that guy is a killing machine, ameshawapoteza wengi Sana, kuna jamaa mmoja aliugua mda mrefu hospital na alisema kabisa kingu na watu wake ndiyo walionipiga na kunifanya kilema, mwisho wasiku akaja kufariki
Huyu Jamaa ni TISS?
 
Namba 4 na 6 sikubaliani na wewe.

Hatuwezi wasemhe hawa hadi wawajibike.

Makonda
Mwigulu
Mambo sasa
Nape
Jerry Slaa
Heri james
Sabaya
Murilo
Mafwele
Tulia Akson
Chalamila
Homera
Abdul
Mbowe huyu mzee lazima ahojiwe inawezekana wanachama wa chadema waliopotea anajua walipelekwa wapi.
Na wengine wengi...

Kumbuka kuna waru wamepoteza mmaisha,wamekua walemavu,wamefirisiwa,wamekimbia nchi ikiwa hao hawatachukuliwa hatua hakutakua na maana ya ukumbozi kwasababu bado watu hatutapona
 
kuna jamaa mmoja wa singida anaitwa Elibariki Kingu, that guy is a killing machine, ameshawapoteza wengi Sana, kuna jamaa mmoja aliugua mda mrefu hospital na alisema kabisa kingu na watu wake ndiyo walionipiga na kunifanya kilema, mwisho wasiku akaja kufariki
Kingj alikua na FEAR OF UNKNOWN
 
Mapendekezo mengine hayafai, nakushauri ulale tena ndoto yako ifanye masahihisho...
 
Back
Top Bottom