wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nawapenda sana walimu wangu ila CWT kinawasaidia Nini?

    Binafsi nawakubali na kuwapenda sana walimu wangu mlionifundisha mambo anuwai ya Dunia nikaweza kuelimika.Ila nina swali moja hiki chama chenu cha walimu(CWT) kina mchango upi katika changamoto za mwalimu?Kubuni rangi za t-shirt? Binafsi sitapenda mtoto wangu awe mwalimu. Bora tu awe hata dreva boda
  2. JamiiForums Tanzania Leo nimemalizana na mwalimu wangu kupitia mtandao wa kijamii

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee katika siku ambazo mimi siwezi kuzisahau katika maisha yangu, basi leo ni moja wapo ya siku hizo. Mr Dudumizi nilianza darasa langu la kwanza katika shule moja iliyopo Mburahati jijini Dar es salaam. Shule hiyo kama zilivyo au zilivyokuwa shule nyingi za Dar...
  3. JamiiForums Tanzania Sijawahi kudumu na mpenzi ambaye nimepigiwa debe na chawa wangu kumpata

    Katika harakati zangu za mahusiano kuna nyakati inatokea napata demu kupitia wapambe, makuwadi, wapiga debe, a.k.a Chawa wa Kichwamoto. Mara kadhaa huwa nikipata pisi yoyote kupitia chawa wangu au mpiga debe awe demu au men, nahisi kama nimefunga goli kwa offside. Hivyo Nina kawaida ya...
  4. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu mtalaka wangu kanifanyia, haiwezekani mpaka wanaojiuza wananikataa!

    Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha vidole kabisa nikipita wakiwa na mashostito wao. Juzi upwiru ulizidi kiwango, nikaona nachotaka...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    Habarini ndugu zangu nilikuwanaomba ushauri kuna dogo langu anafundisha chuo kikuu cha Dar es Salaam kama Tutorial Assistant na kaitwa kufanya interview TRA kama Tutorial assistant. Yuko anauliza je kuna umuhimu wa yeye kwenda TRA kufanya interview na akaachana na UDSM maana salary scale ya TRA...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati wangu wa kuomba maombi ya nguvu za kutawala, kumiliki, kinga, na kushinda vita zote

    Kuna siri ya ushindi ukifanya maombi ya vita muda huu. Naingia vitani (maombi ya vita) kisha nakuja kutoa darasa kidogo. Nimerudi sasa. Ulimwengu huu unatawaliwa na siri nyingi, na siri hizi ziko kwenye mfumo wa namba. Namba 3,6,9 zina nguvu sana ya kufanya uumbaji wa jambo kimwili na kiroho...
  8. JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya uzi wangu wa kutafuta mchumba (mke) niliowahi post

    Ni mwezi sasa umepita wakurungwa toka nimepost nasaka wife material ili niachane na usemi wa wahuni, wazembe, watoto wa kulelewa na mishangazi unaosema"KATAA NDOA " NDOA NI UTUMWA"NAONA dalili za kuukimbia ziko ukingoni. Tarehe 2/09/2023 alinicheki mtot wa kisukuma tukapata kuzungumza yupo...
  9. JamiiForums Tanzania Ukisikia Paah Vs Mchuzi wangu ipi Collabo kali?

    Wanangu wa Hip hop naweka mtanange hapa, kati ya hizi collabo mbili zilizo umiza kipindi hicho. ipi ni collabo kali ? Ukisikia paah ya JCB original + Remix VS Mchizi wangu ya Nako2Nako original + Remix Nataka kuona collabo itakayo ibuka kidedea hapa
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada sehemu ya kuwapeleka wageni wangu Moshi

    Habari wadau, Nina wageni wangu (wanawake wanne from Europe) wapo Kwa project Yao Sasa inabidi niende nao Moshi na wao wananitegemea Mimi kuwatembeza kibudget( ni wanafunzi wa chuo). Naomba ushauri kuhusu nightlife ya Moshi,sehemu gani wazungu wangefurahia kutembea usiku,pia na vivutio vya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

    Salamu Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98 Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na...
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda kucheka, nifanyaje?

    Doh, najuta kutoa email yangu Maana ndio mvua za maswali kama haya, Money Penny, me Nina mpenzi wangu nampenda Sana, lakini ana tatizo moja Tu Money Penny: Tatizo gani? Kijana: anapenda Sana kucheka, Yani akikutana na kitu kinachekesha, hapo mjipange DK 10 mpaka 15 anacheka yeye tu. Money...
  13. JamiiForums Tanzania Simu ya mpenzi wangu haina amsha amsha. Nifanyeje?

    Kumekucha Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa "Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA Haina ex anaemsumbua Madeni wanaomsumbua Wadada, mijimama inayomsumbua Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME...
  14. JamiiForums Tanzania Naona kama simridhishi demu wangu, ni wa moto sana

    Money Penny njoo kwanza unishauri Jamaa: Nimepata demu mkali, ana shepu kama Vera Sidika wa Kenya Mkali sana Mzuri sana Hapa hapa bongo Ila kila tukiingia kwenye tendo la ndoa naona kama simridhishi, au ni wasiwasi wangu tu? Maana ni wamoutoooooor halafu ana nata sana Nifanyaje? Haya wale...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

    Habari za zenu wana MMU, Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa! Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alinidanganya yeye ni bikra!

    Habari wana Jf Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya! Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti...
  17. JamiiForums Tanzania Nawaza sana Uzee wangu utakuwa wa namna gani

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,sasa hivi utaula wa chuya! Nawaza sana endapo Mungu akinipa Umri mkubwa wa Kuishi,sijui uzee wangu utakuwa wa namna gani!😩 Je, nitadharaulika kama baadhi ya wazee leo wanavyodhaurika? Je, nitakosa thamani kama wazee wengine wanavyokosa thamani miongoni...
  18. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Dhuluma na Uonevu dhidi ya Kazi ya Ualimu Secondary na Primary schools ni laana juu elimu Tanzania

    Wasalaam, Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku. Walimu na elimu vinahitaji good governance...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokuza mtaji wangu wa viatu vya mitumba kwa kuiba viatu (Ni hatari sana, usije ukajaribu utauawa kifo kibaya sana)

    Mbingu na nchi zitapita, lakini neno la Mungu litaishi milele. Wananchi na wana nzengo wenzangu, maisha ya kijana wa kiume ni nusu kuzimu, robo peponi na robo nyingine duniani. Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo. Maisha yangu ya ujana yalijawa na changamoto nyingi, uchumi duni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

    Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu. Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…