wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wajiandae kwa aibu kubwa 20.10.2023

    Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana. Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa. Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sio mpenzi wangu lakini kaninunia sababu nimeshindwa kumkopesha pesa

    Kuna binti mmoja nilipata kujuana nae baada ya kukutana kwenye kazi ya muda ambayo tuliifanya kwa muda wa miezi 6. Baada ya ile kazi kuisha kila mtu aliendelea na harakati zake zingine lakini bado tulikuwa tutawasiliana mara mojamoja. Kuna siku alinitumia link ya group la ajira lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

    Habari za sahizi keyboard masters.. Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza. Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi...
  4. JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  5. JamiiForums Tanzania Je, tatizo Kuu la Kizazi cha Kupambana Kimaendeleo, Kujinyima na Kivumilivu haliwezi kuanzia huu Utafiti wangu Binafsi?

    95% ya Watoto wa Kitanzania hasa waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 hadi leo (sasa) wanapenda zaidi Kula Ubwabwa (Wali) na Kuuchukia kabisa Ugali (GENTAMYCINE ninaoupenda) uliotukuza Kaka na Dada zao Geniuses tuliozaliwa kuanzia 1989 kurudi nyuma. Wazazi wa sasa nawashaurini kwa nia njema tu...
  6. JamiiForums Tanzania Nimetabasamu kuona Manura na Inonga wamerejea ila ushauri wangu VIONGOZI na MAKOCHA msiupuuze.....

    WAKATI mashabiki wa Simba baadhi wakiwa hawana imani na kipa Ayoub Lakred kutokana na kuruhusu mabao katika mechi mbili za kimataifa, tabasamu limeanza kuonekana baada ya Aishi Manula kuanza mazoezi ya uwanjani. Manula ambaye ni kipa namba moja wa Simba, amerejea kwenye uwanja cha mazoezi mara...
  7. JamiiForums Tanzania Ex wangu jamani, alichonifanyia siwezi msahau...

    sasa embu niambie basi wewe mpenzi msomaji ukimkumbuka ex wako unakumbuka nini? kizuri au kibaya!
  8. JamiiForums Tanzania Maana mbaya ya Emojis kwenye Jamii imefanya nikosane na Bebi wangu

    Salamu nishawaachia waswahili! Hii Emoji sijajua kwenu ina maana gani lakini kwangu ninavyofahamu ni Tunda aina ya Fulisi(Mafulisi) au kwa kisorongai uitwa Peach(Peaches). Mimi huwa ni mdau mkubwa sana wa haya matunda,juzi nimeyanunua ya kutosha pamoja na matunda mengine,hivyo sikupata...
  9. JamiiForums Tanzania Je, unafurahishwa na tabia za mwanao?

    Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia, Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani, Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia Akichukua kitu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania MREJESHO; Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Habari wanajf. Nilileta uzi hapa kuhusu rafiki yangu mmoja ambaye alizaa nje watoto 2. Na mkewe alizaa nae watoto wawili. Thread 'Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?' Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi? Alipata kigugumizi kuhusu mali...
  11. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anasema ameokoka, lakini anataka nimpe utamu, je nifanyaje?!

    Mpendwa: Money Penny, Mimi nipo na Mpenzi wangu, anasema ameokoka na tunasali, tunaomba, tunafunga, kanisani anakuja fresh Tu, Money Penny: Hongera Mpendwa: hakuna cha hongera ndio maana nipo kwako hapa Money Penny; nambie mpendwa Mpendwa: Yani mpenzi huyu ameonyesha dalili zote za kunitaka...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba support kwenye mradi wangu

    Habari za wakati huu wana Jamii Kwa majina ninaitwa HASSAN IDDI HASSAN Mkazi wa Kigoma-Ujiji Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kufanya mageuzi katika matumizi ya nishati mbadala nikiwa na maana ya Green Energy, pamoja na usafi wa mazingira. Ambapo tutatumia taka (organic waste) kuweza kuzalisha...
  13. JamiiForums Tanzania Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

    Salaam waungwana wote, Kwa kweli katika kitu najuta maishani ni kumpenda huyu mtu, nimekua nae kwa miaka 7 sasa, niseme tu nilimkuta hana kitu kabisa sikujali kitu nilijali mapenzi, tukaanza mapenzi na yalikua moto moto, alikua anafanya kazi sehemu kwa mshahara mdogo sana, wakati huo mie nipo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hurumia wazee waliolitumikia taifa kwa uaminifu leo wanalipwa Tsh 3,000 kwa siku

    Raisi wangu Samia naandika post hii nikiamini kwa huwa unapitia jukwaa hili kama siku moja ulivyotwambia. kama siyo wewe kuusoma mwenyewe basi naomba wasaidizi wako wakufikishie ujumbe huu. Kuna wazee wastaafu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu, na unajua kuwa huko myuma hapakuwepo ujanja...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kumfungulia mchepuko wangu duka la bidhaa za kike (urembo) na watoto. Nipeni ushauri kuhusu bajeti na mahala sahihi hapa dar

    Habari wakuu Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu mke wangu niliempa mtaji akafanye biashara ya duka la kuuza urembo wa kike pamoja na saloon lakini akauwa ile biashara. Yule alikua anafanya biashara kisa wenzake wanafanya lakini nina mchepuko wangu huwa ananipoza nikiwa dar, yeye kiukweli anajua...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya AZAM na STAR TIMES, ipi itakayowafaa wazee wangu kijijini?

    Si mpenzi wa mpira wala vipindi vinavyofanania mpira, n.k., labda wajukuu wake, lakini siweki kwa ajili yao ila bibi yao. Mlengwa anapendelea vipindi vya kwaya na mahubiri ya Kiswahili na "movies" zenye maudhui ya Kiafrika, hasa ya Kitanzania, lakini zinazozingatia maadili . Nilishajaribu...
  17. JamiiForums Tanzania My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

    Habari wanajf. Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule. Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari. Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda. Nikiwa form one bado...
  18. JamiiForums Tanzania Inonga wenu akipona mwambieni apitie Clips za Mabeki wangu pendwa Wafuatao, awaige na abadilike upesi

    1. George Masatu 2. Godwin Aswile 3. Victor Costa 4. Nadir Haroub 5. Constantine Kimanda 6. Salum Swedi 7. Fikiri Magosso 8. Christopher Alex Massawe 9. Mustapha Hoza 10. Boniface Pawassa 11. Willy Martin Tangia GENTAMYCINE niwaone Wachezaji ( Mabeki zangu tajwa hawa ) sikumbuki ni lini...
  19. JamiiForums Tanzania Ujasiri na utata wa mzee wangu ushimen, uta kushangaza

    Salaam wakuu, dah nina andika Uzi wangu huu nikiwa Kijiji Cha wapiga miti. 👉Niko na mzee wangu Ushimen, tuki endelea na mapambano yetu Kama Wana familia Ila kuna vitu vya mzee wangu huyu, vina Nishangaza na kuni onyesha kuwa huyu ni zaidi ya dikteta au bepari. Ame binafsisha cheo Cha...
  20. JamiiForums Tanzania Nawapenda sana walimu wangu ila CWT kinawasaidia Nini?

    Binafsi nawakubali na kuwapenda sana walimu wangu mlionifundisha mambo anuwai ya Dunia nikaweza kuelimika.Ila nina swali moja hiki chama chenu cha walimu(CWT) kina mchango upi katika changamoto za mwalimu?Kubuni rangi za t-shirt? Binafsi sitapenda mtoto wangu awe mwalimu. Bora tu awe hata dreva boda
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…