Inonga wenu akipona mwambieni apitie Clips za Mabeki wangu pendwa Wafuatao, awaige na abadilike upesi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
1. George Masatu
2. Godwin Aswile
3. Victor Costa
4. Nadir Haroub
5. Constantine Kimanda
6. Salum Swedi
7. Fikiri Magosso
8. Christopher Alex Massawe
9. Mustapha Hoza
10. Boniface Pawassa
11. Willy Martin

Tangia GENTAMYCINE niwaone Wachezaji ( Mabeki zangu tajwa hawa ) sikumbuki ni lini walikuwa wakicheza na Majukwaa, wakitafuta Sifa, wakiwa na Mambo ya Kitoto, Kipuuzi na Kujidekezadekeza kama Watoto wa Kike bali Wao walikuwa ni Watu wa Kazi na Kazi zao tuliziona Viwanjani na ndiyo maana hadi leo tunawakumbuka.

Inonga wenu asipobadilika baada ya Kupona na kuendelea na Upuuzi Upuuzi wake wa Sifa za Kijinga, Kitoto na kucheza na Majukwaa mwambieni ndiyo ataumia zaidi hadi Tanzania ataiona Chungu na atarudi Kwao kukata Viuno na Nduguze akina Koffi Olomide, JB Mpiana, Ngiama Makanda Werrason, Fally Ipupa na Ferre Gola.

Faulo ya Juzi angechezewa Mabeki ninaowakubali kwa sasa kama Mdogo wangu Mwenyewe wa Misufini Morogoro Dickson Job au Bakari Mwamnyeto au Ibrahim Baka au Chemalone GENTAMYCINE ningepaza Sauti kwa Kukemea, Kutetea na Kulaumu mno ila siyo kwa huyu Henock Inonga na wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mtanisamehe sana kwa hili.
 
Lile JINGA lao Jamii forum

Huwa linapenda sana Kuandika USHIRIKINA UCHAWI NA ULOZI.

1. Utasikia KIBU anampiga MISUMARI Kramo.

2. Nategemea Lile lipumbavu litaandika
INONGA AMEPIGWA MISUMARI na KENEDY JUMA.

NB
Chistopher Alex hakuwahi kuwa Beki Alikuwa kiungo Mkabaji 6.

4. Boniface pawassa

5. Victor Costa nyumba
 
Inonga ndio mchezaji bora ( kwangu) kwenye ligi hii, yupo daraja la peke ake.

Ni vile tu anacheza beki.

Kucheza na jukwaa? Arguement moja ya kishamba ni hii....Mashabiki wapo pale kufanya nini?

Huwezi mkuta anafanya ujinga mechi serious, anaheshimu mchezo.

Siku ile alivyokosa Penalty ( south) ni yeye tu alikuwa anaonesha kujutia. Hii inakuonesha ni mtu wa namna gani ( winner).

Kingine, huwezi kuwa na madoido kama hujui.
 
Lile JINGA lao Jamii forum

Huwa linapenda sana Kuandika USHIRIKINA UCHAWI NA ULOZI.

1. Utasikia KIBU anampiga MISUMARI Kramo.

2. Nategemea Lile lipumbavu litaandika
INONGA AMEPIGWA MISUMARI na KENEDY JUMA.

NB
Chistopher Alex hakuwahi kuwa Beki Alikuwa kiungo Mkabaji 6.

4. Boniface pawassa

5. Victor Costa nyumba
kolo mwenzao mwandamizi ulipokua unawashauri wasajili beki wao wakasajili mawinga,mikson akacheze beki sasa kuziba nafasi ya inonga
 
Lile JINGA lao Jamii forum

Huwa linapenda sana Kuandika USHIRIKINA UCHAWI NA ULOZI.

1. Utasikia KIBU anampiga MISUMARI Kramo.

2. Nategemea Lile lipumbavu litaandika
INONGA AMEPIGWA MISUMARI na KENEDY JUMA.

NB
Chistopher Alex hakuwahi kuwa Beki Alikuwa kiungo Mkabaji 6.

4. Boniface pawassa

5. Victor Costa nyumba
Pumbavu Marehemu Christopher Alex Massawe alikuwa ni Kiungo na Beki na kuonyesha kuwa huna Akili na kamwe huniwezi tafuta Mechi za Simba SC kipindi kile hasa Kiungo na aliyekuwa Beki Namba Tano pia Patrick Betwel Buba Masai alipoumia Christopher Alex Massawe alicheza namba ipi.

Kama Mimi ni Jinga la JF Wewe ni Pumbavu Mwandamizi wa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
1.Juma Kaseja,
2. Said Sued
3. Ramadhani Wasso,
4 . Boniface Pawassa
5. Victor Costa.
6. Alex Massawe,
7 Yusuph Macho musso.
8. Suleman Matola velone.
9. Emanuel Gabliel.
10. OTHMAN machupa.
11. Ulimboka Mwakingwe

Hiki ndio kikosi cha Simba kilichoivua ubingwa Zamalek nyumbani 2003
Hao wote ni watanzawenyenia?
 
kilaza wa jf katoa tena boko🤣🤣 kwamba Christopher Alex alikuwaga beki🤣🤣🤣 Labda Christopher Alex wa Bunda
Tafuteni Mechi za Simba SC mpaka ile tuliyowatoa Zamaleck FC Marehemu Christopher Alex Massawe alicheza namba ipi ya Beki.

Halafu mngekuwa Watu wa Mpira wala msingepata shida kujua kuwa Beki wa Kati Namba Nne au Libero namba Tano vile vile anaweza Kucheza vyema Kiungo Mkabaji Namba Sita.

Hussein Aman Marsha alipotoka Pamba FC alikuwa akicheza Kiungo Namba Nane na Sita ila alipokuja Simba SC na baadae kukutana na Kocha kutoka Yugoslavia Dragan Popadic alibadilishwa kutoka Kucheza nafasi za Kiungo na kuja Kucheza Kiustadi kabisa Beki Namba Tano ambapo nakumbuka Mechi ys Taifa Stars na Liberia ( aliyokuwemo Rais wa sasa wa Liberia ) George Opong Weah aliupiga mwingi mno hasa akimkabili vilivyo Weah mpaka Mpira ulipomalizika Weah alimfuata na Kumpongeza huku akishangaa ni kwanini kwa kile Kipaji chake bado alikuwa Tanzania?

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!

Cc: dame Fool CAPO DELGADO
 
1.Juma Kaseja,
2. Said Sued
3. Ramadhani Wasso,
4 . Boniface Pawassa
5. Victor Costa.
6. Alex Massawe,
7 Yusuph Macho musso.
8. Suleman Matola velone.
9. Emanuel Gabliel.
10. OTHMAN machupa.
11. Ulimboka Mwakingwe

Hiki ndio kikosi cha Simba kilichoivua ubingwa Zamalek nyumbani 2003
Na Kikosi kilichojikusanya na kukupa Mimba zako za Mfululizo kipo wapi? Tuwekee pia.
 
Tafuteni Mechi za Simba SC mpaka ile tuliyowatoa Zamaleck FC Marehemu Christopher Alex Massawe alicheza namba ipi ya Beki.

Halafu mngekuwa Watu wa Mpira wala msingepata shida kujua kuwa Beki wa Kati Namba Nne au Libero namba Tano vile vile anaweza Kucheza vyema Kiungo Mkabaji Namba Sita.

Hussein Aman Marsha alipotoka Pamba FC alikuwa akicheza Kiungo Namba Nane na Sita ila alipokuja Simba SC na baadae kukutana na Kocha kutoka Yugoslavia Dragan Popadic alibadilishwa kutoka Kucheza nafasi za Kiungo na kuja Kucheza Kiustadi kabisa Beki Namba Tano ambapo nakumbuka Mechi ys Taifa Stars na Liberia ( aliyokuwemo Rais wa sasa wa Liberia ) George Opong Weah aliupiga mwingi mno hasa akimkabili vilivyo Weah mpaka Mpira ulipomalizika Weah alimfuata na Kumpongeza huku akishangaa ni kwanini kwa kile Kipaji chake bado alikuwa Tanzania?

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!

Cc: dame Fool CAPO DELGADO
Fake news
 
Pumbavu Marehemu Christopher Alex Massawe alikuwa ni Kiungo na Beki na kuonyesha kuwa huna Akili na kamwe huniwezi tafuta Mechi za Simba SC kipindi kile hasa Kiungo na aliyekuwa Beki Namba Tano pia Patrick Betwel Buba Masai alipoumia Christopher Alex Massawe alicheza namba ipi.

Kama Mimi ni Jinga la JF Wewe ni Pumbavu Mwandamizi wa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Kolo vs kolo
 
Kama unapenda mpira serious tengeneza timu yako
Wengine tunaoenda burudani hata ya kukata viuno uwanjani..

Inonga ndiye mchezaji bora kwangu kwa huo unaoita ujinga
 
Lile JINGA lao Jamii forum

Huwa linapenda sana Kuandika USHIRIKINA UCHAWI NA ULOZI.

1. Utasikia KIBU anampiga MISUMARI Kramo.

2. Nategemea Lile lipumbavu litaandika
INONGA AMEPIGWA MISUMARI na KENEDY JUMA.

NB
Chistopher Alex hakuwahi kuwa Beki Alikuwa kiungo Mkabaji 6.

4. Boniface pawassa

5. Victor Costa nyumba
Aaahaaaaa
 
Back
Top Bottom