Mwaka 2014, rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani.
Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia alizigeuza kuwa mtaji, akizalisha biashara na uwekezaji uliomrudishia dola milioni 6 ambazo ni sawa...