Mwanamke katili asiejali vilio vya wanawake wenzake

Mwanamke katili asiejali vilio vya wanawake wenzake

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,397
Reaction score
9,230
Mama Heche, mama Mdude, mama soka, mama PolePole na wengine hawakuzaa Kwa utamu, walizaa Kwa uchungu pia.

So kama huyu mama yenu mtawala anaona machozi ya hawa wamama ni nothing sababu anajua wanae walipo na anawaona na anafuraha basi Mungu ataamua hawa wamama wengine atawafuta vipi machozi.
 
Back
Top Bottom