wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. Sembe haiwafahai wanawake!

    Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. SEMBE HAIWAFAI WANAWAKE.
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    Fresh wakuu? Mficha maradhi kifo humuumbua. Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole. Note:majukumu yake kama mwanamke...
  3. JamiiForums Tanzania Kiungo pekee kinachotabiiri kifo kwa mgonjwa wa kiume.sjui kwa Wanawake ILA hiki kidume ukifa kinasimama hatari.

    Mtoto/MWANAUME/Baba/Babu shikilia mashine yako kama uko poa kabisa huna changamoto ya kiafya, tekenya kende, gusa limsuri la katikati ya mtu.wa nyama wako, ukiona limesmama mwambie Mungu Asante. Kwa ufupi MWANAUME akiumwa na ugonjwa AMBAO auendi kumtoa roho kila siku asubuh atasimamisha ILA ni...
  4. JamiiForums Tanzania Umasikini ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa malaya na ombaomba kwenye mahusiano yao.

    Anaebisha aje na hoja ya msingi.. Umasikini ndio chanzo kikuu cha umalaya na kuwafanya wanawake kuwa ombaomba kwenye jamii kwa ujumla
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake tunawaona ni tishio?

    Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe. Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana 1.Tupewe attention na wanawake 2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili? 3.Kwanini hata hapa jukwaani...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

    Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea kusoma. pia wakati bado anasoma mimi nipo mtaani nikapigiwa pande nikapata kazi serikalini wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbe Wanawake Wembamba wanaenda gym kutafuta wanaume!

    Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume. Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake. Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone. Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Marekani, mpira wa miguu(soka) ni mchezo wa wanawake?

    Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh. Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne. Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bengi Mazana: Bajeti ya 2026/2027 nafasi za uongozi Wanawake haifiki asilimi 30, wapo wengi wenye uwezo

    Mbunge wa Viti Maalum, Beng'i Mazana Issa akichangia Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 Bungeni leo Juni 22, 2026 amependekeza Serikali kuangalia uhusishwaji wa Wanawake kwenye nyanya mbalimbali za uongozi akirejelea kuwa Bajeti kuu imetaja nafasi za uongozi kwa Wanawake kwa asilimia 30...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake wapo wapi hapa ?

    wanawake wapo wapi hapa ? wanawake mko wapi ? najua wapo baadhi wanaochomoza, lakini huwezi kuwaweka kwenye mizani moja na wanaume. 50/50 inatoka wapi ?
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake Huwa na majini sometime.

    Kuna siku nilienda alipopanga demu wangu.Kwa kifupi alinikaribisha vizuri sana hadi tukajikuta sote tukiwa katika nyakati za furaha sana utani mwingi,story Kwa sana na mipango mingi na tulikula tukanywa na hakukuwa na shida bhasi hatimae ule wakti wa kula tunda ukakaribia... Aisee nilishangaa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna wale wanawake ambao huwa wanaikalia wakichoka wanalala kifuani halafu watulia sisi ndio tunakuwa tunanyanyua kiuno kuwafaata juu utasikia aaaa,ai

    Kuna wale wanawake ambao huwa wanaikalia wakichoka wanalala kifuani halafu watulia sisi ndio tunakuwa tunanyanyua kiuno kuwafaata juu utasikia aaaa, ai na huwa tunawakumbatia kwa nguvu halafu wanatulia huku wakisisimka. Tukikaribia kukitupa tunaongeza spread pah pahpah😀🙌🏿. Kesho nitawapa offer...
  13. JamiiForums Tanzania Changamoto ya dada zetu kuwa ombaomba mtaani

    Changamoto ya ombaomba ina historia pana nchini mwetu. Ilishawahi kuwa maarufu sana mjini. Wahenga wenzangu nafikiri mnamkumbuka legend mmoja hivi anaitwa Matonya. Alikua ombaomba maarufu mpaka kufikia hatua ya ombaomba wote kuitwa Matonya. Serikali ilichukua hatua kudhiti hili suala kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume tuelewe: Kama sisi hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja. Vivyohivyo kwa wanawake. Hakuna mwanamke anayeridhika na mwanaume mmoja!

    Habari za Sabato! Saikolojia iko hivyo. Kihisia na kiakili mwanaume na mwanamke hawana tofauti yoyote ile. Wanawake wana wivu kama tulivyo wanaume. Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume. Jinsi mwanaume ukikutana na mwanamke mwenye mvuto unamtamani licha ya kuwa una mke na watoto...
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja haileti uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine?

    Hili suala la baadhi ya wanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja nafikiri ni tatizo kwenye jamii. Uwiano (ratio) wa wanaume kwa wanawake duniani ni wanaume 101 kwa wanawake 100 au takribani 1:1. Hii ina maana baadhi ya wanaume wakiwa na wapenzi au wake wawili au zaidi inaharibu mzani na...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

    Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi. Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wajawazito wanasita kwenda Kituo cha Afya Nindo - Shinyanga Vijijini sababu wanatozwa hela

    Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo. Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza huduma za kliniki hutakiwa kulipa shilingi 10,000, na wakati mwingine fedha hizo hukusanywa bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…