Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu kuwazuia , waliweza kufika Tehran kupiga doria na kurudi salama Israel.
Round hii wameenda wengi zaidi...
Na Mwandishi wa Habari Hub
Zanzibar, Juni 12, 2025
Katika juhudi za kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na demokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-Zanzibar) kimeandaa kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha wadau kutoka taasisi 15 zisizo za kiserikali...
Nimejaribu kuwaza sana, baada ya kuwa na watoto kadhaa kwa hizi pisi kali zangu.
Nikaona njia ya kuwaweka pamoja leo na kesho ni kuwashirikisha katika kutekeleza mawazo yangu kibiashara, ili wao na watoto wao waweze kupata chochote pamoja na kujivunia kuwa na mwanaume mwenye upeo wa kuona...
Habari zenu wanawake na warembo wa jamiiforums?
Swali kwenu
" Kwanini hampendi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wafupi"?
Je, shida yao kuu ni nini? nipo kwenye utafiti fulani, naombeni maoni yenu.
Helo wana JF, Hello wana NRNE
Tuchangamshe genge kidgo wakati tukiendelea na nyundo za ugoko ya #NOREFORMSNOELECTION
***
Kuna tukio nilishawahi kulishuhudia ktk nyumba nilokuwa nimepanga miaka ya nyuma kidogo, kiukweli jambo lile sikulichukulia ktk hali ya kumchukia Stering, ila nilijifunza...
Inanishangaza sana inaonekana kwa sasa suluhisho la jobless na graduate wengi sana waliokosa ajira ni kuolewa na hii hali inanishangaza sana aisee sasa najiuliza hapa nikiingiza miguu yangu kwamba hawa wanawake wote watanihitaji kwa ajili ya mapenzi na ndoa au kwa ajili ya kusukuma siku ziende...
No Reforms, No Election
Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan Kiwanga. Kauli hizo zimeacha maswali mengi kuhusu heshima, utu, na nafasi ya mwanamke katika siasa za...
Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe.
Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani.
Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani.
Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
Ni Jumamosi nyingine tena mamia ya maelfu ya wanaume wajinga duniani kote wanawafanya wanawake used kuwa wake zao kwa sherehe za mamilioni ya pesa.
Wanaume kadhaa walishaichapa bure kabisa na wanajua kuwa she ain't valuable for marriage.
Ila kuna simp leo anamfanya kuwa mke na kuspend millions...
Katika ulimwengu wa leo, mitindo ya mavazi imegeuka kuwa uwanja wa mashindano ya kuonyesha miili badala ya kuonyesha heshima, adabu, na utu wa mwanamke. Kinachosikitisha ni kwamba hata wanawake wanaodai wanamjua Mungu sasa wamekumbatia mavazi mafupi, suruali za kubana na mavazi yanayoacha wazi...
Kila mtu anasema lake..
Rais Samia: Yeye indirectly, kusema bila shaka Gwajima dini yake ni ya kichawi. Kwa hiyo inawezekana alitoroshwa na wachawi Ili asiingie kwenye mikono ya watekaji!
Wengine wanasema: Siku hiyo, alijifanya mwanamke, akavaa dera, akawazuga Polisi kiasi cha kushindwa...
Kama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
UKIWA KIJANA PESA YAKO IENDE KWENYE HAYA MAMBO. UTATOBOA TUU! KAMWE USIHONGE WANAWAKE!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Bado mdogo, unanguvu, ngozi haijalegea na kusinyaa. Ukivaa nguo zinakupendeza, ukinyoa nywele mtindo wowote unatoka chicha. Kwa nini Uhonge?
Kwa nini utumie pesa yako...
Moja ya changamoto nillmezipitia ni kukaa na waswahili Nyumba za kupanga (Wanawake mbaya zaidi hawajasoma hawana Elimu .
Kwanza wachafu
Wambea
Wanawivu
Wana nguvu hasi
(Negative energy)
Kuhusu Wivu yaani wakikuona umenunua hata trey moja ya mayai inakuwa vita Kali Sana .
Ila finally nilijua...
Kuna siku niliandika uzi...nikasema yule Rais wa ile Nchi ni kielelezo kingine kikubwa kua Wanawake wa Afrika kwenye Mwaswala ya Uongozi bado.
Mods mkaula kichwa ule uzi sijui kwa sababu nilimtaja kabisa.
Ila leo simtaji ila nahisi mshaelewa kama mtu ananibishia ataje kuna baadhi ya Nchi hapa...
“Uwezekano wa binadamu aliyekulia kwenye mazingira yenye upendo, furaha na amani kuwa mbabe, katili anayefurahia na kukejeli maumivu ya wenzake ni sawa na sifuri. Ukatili si asili yetu. Nadra sana binadamu kuzaliwa katili isipokuwa inapotokea kazaliwa na hitilafu za kibaiolojia.” Mwisho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.