Tungekuwa tunachagua Jinsia kusingekuwa na wanawake

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,512
Reaction score
12,445
Suala la kuchagua jinsia ingekuwa ni hiari huenda wanawake wasingekuwepo au wangekuwa wachache sana. Sababu hizi hapa
1. Kwa mujibu wa tafuti kwa nchi zenye population control policy kama china wazazi huchagua zaidi kupata watoto wakiume kuliko wa kike. Ndio sababu china wanaume ni wengi sana ukilingamisha na wanawake

2. Wanawake wanachukia maumbile yao (kuyaonea aibu)

3. Mtazamo wa kijaamii,, katika jamii nyingi mwanamke huchukuliwa duni sana

4. Wanawake wengi hutamani kuwa wanaume

Maoni yako niayapi mdau
 
1) Sasa Mishangazi tutaitolea wapi🤣
2) Nani apewe shahawa sasa😳
3) Moyo utapata wapi faraja ya kuona msambwanda ukitikisika😋
 
Naona siku hizi wanaintelijensia uchwara wa kujitegemea mnazidi kuongezeka humu jf!! Kuwa mwanaume si mchezo!! Ushawahi jiuliza kwanini mashoga wanazidi kuongezeka(kama Cocastic na prince alex n.k)?? Ingekuwa kila mtu anapewa nafasi ya kuchagua awe na jinsia gani, kila mtu angechagua kutokana na matamanio yake binafsi!!
 
Hakuna shoga aliyewahi kuwa mwanaume mkuu, labda kama aliharibiwa udogoni
 
China ina wanaume wengi kuliko wanawake?

Bila shaka wewe ni mwanamke, kwa nondo hizi ulizotoa ukisema ni mwanaume itabidi uchunguzwe.
Ndio,, china sisi wanaume ni wengi kuliko wanawake hata India ,,, hizi nchi ndio zinachangia kwa kiasi kikubwa Sisi wanaume kuwa wengi kidogo duniani kuliko wanawake. Upumbavu wako wakutojua mambo usinilazimishie jinsia ,, penda kujifunza ufute ujinga
 
Suala la kuchagua jinsia ingekuwa ni hiari huenda wanawake wasingekuwepo au wangekuwa wachache sana. Sababu hizi hapa
1. Kwa mujibu wa tafuti kwa nchi zenye population control policy kama china wazazi huchagua zaidi kupata watoto wakiume kuliko wa kike. Ndio sababu china wanaume ni wengi sana ukilingamisha na wanawake

2. Wanawake wanachukia maumbile yao (kuyaonea aibu)

3. Mtazamo wa kijaamii,, katika jamii nyingi mwanamke huchukuliwa duni sana

4. Wanawake wengi hutamani kuwa wanaume

Maoni yako niayapi mdau
Na hawa wanaume wanatatuliwa marinda unadhani wangechaguwa jinsia gani?
 
Back
Top Bottom