wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

    Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Hayo yamesemwa leo Juni 6,2021 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  2. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Uhalisia: Wanawake wengi Duniani wana Uke mdogo kuliko wanaume wengi wanavyofikiri

    Kutokana tafiti mbalimbali za wataalam wa Takwimu (worlddata.com), mifumo ya uzazi ya wanawake(Gynaecologist),maswala ya ngono na mahusiano(sexologists). Ni kwamba, Kwa zaidi ya 70% ya wanawake wote duniani, 1. Mwanamke akiwa katika hali ya kawaida RELAXED MODE [emoji117]Uke wake unakua na...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Bongo wanaweza kulikubali hili!?

    Kwenye miaka ya themanini, Bill Gates akiwa bado kijana, alichumbiana na Ann Winblad. Mwaka 1987 Bill Gates akaachana na Ann na Kwenda kumuoa Belinda waliyeishi naye kwa miaka 27 na kupata naye watoto watatu mpaka walipoachana mwanzoni mwa mwaka huu. Lakini Bill Gates alipooana na Belinda...
  4. S

    JamiiForums Tanzania BASATA, huu wimbo wenye maneno "dela jipya, chupi la zamani", haudhalilisha wanawake, na kwanini msiupigie marufuku?

    Wadau, kwa wale mliosikia huu wimbo, maneno hayo kweli yanafaa kutumiwa kwa wimbo unaopigiwa katika vituo kama vya radio, kwenye daladala na sehemu nyingine za public? Binafsi maneno hayo naona yana ukakasi na hivyo nashauri huu wimbo upigwe marufuku na ufanyiwe marekebisho ndio uruhusiwe...
  5. Handsome boy 1

    JamiiForums Tanzania Kuwa na wanawake wengi huja automatically

    Kama ilivyo Mahusiano kufa pia Mahusiano hubadilika uliyemuamini juzi leo haaminiki tena mpka unashangaa lakini ni muhimu tu kujua kuwa Mahusiano yanabadilika wapo watu wapo kwenye ndoa lakini nje ya ndoa wana watoto yaani kama kaubalozi kadogo kapo nje ya ndoa na watoto anasomesha kabisa na...
  6. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wanawake wanampenda mtu lakini wanakuwa wagumu kwenye kutoa mbususu?

    Kuna demu nimemtongoza akakubali fresh sasa hivi niko kwenye mahusiano naye mwezi wa Tatu huu lakini kwa kipindi chote hicho hataki kunipa mbususu anadai yeye ni BK na hiyo BK yake ni kwa ajili ya atakaekuja kumuoa. Hiyo hali nimeivumilia nimechoka nimeamua kumpiga chini kila mtu ajue yake cha...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiyahudi walioteseka enzi za Holocaust, wajukuu zao leo ni wapiganaji

    Mateso ya mnyonge yanazaa shujaa, hii ndiyo dunia ilivyo.
  8. ragin

    JamiiForums Tanzania Wanawake tupeane siri

    Wenzetu wakitendwa kauli mbiu "watafte pesa" mapenzi yatajileta. Wanawake je tufanyaje? Iko hivi My childhood friend Zuwena (jins sio halisi) kwao wako vizuri uchumi kati Baba yao alitangulia mbele ya haki wakabaki na mama,,. Huyu Zuwena aliolewa na kubahatika mtoto 1 Aliemuoa aliaply...
  9. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai umejianika na kujiumbua, wewe si mtetezi wa Wabunge wanawake. Filamu yako ya akina Mdee umeshindwa kuilinda

    Mbunge wa Momba, tena wa chama chetu cha CCM, amedhalilishwa Bungeni. Ametolewa nje ya Bunge kwa aibu kuu akiambiwa kuwa 'hajavaa vizuri'. Amri ya kutolewa nje kwa mwanamama huyo Mbunge wa Momba ilitolewa nawe Spika Job Ndugai. Ni baada ya kuombwa muongozo na Mbunge Ameir akidai kuwa mwanamama...
  10. the numb 1

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea Wanaume kubadilika kitabia baada ya Wanawake wao kubeba Ujauzito

    .
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Armenia walipigana vita ya Ottoman

    Hii ilikua mwaka 1895
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

    Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya (namba inaweza kuongezeka). Inadaiwa kwamba Sabaya akishalewa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona status yangu nakunywa bia, amenipenda kwa kasi ya ajabu

    Habari wakuu Hakika wanawake kuwaelewa ni ngumu mno, ni mwezi mmoja umepita tangu nilivyomuapproach mtoto mmoja hapa jiji la joto na akanitolea nje. Nikapambana kila namna lakini mtoto hakunielewa ndani ya siku 4 nikajikatia tamaa. Ilibaki tunaonana kupitia status za wasap pasipo kucoment...
  14. Mlachake

    JamiiForums Tanzania Kati ya njia hizi za wanawake kuonesha hasira ungempenda mwanamke yupi?

    Wakina mama wana Njia tatu ta kuonesha Hasira. 1. Silence 2. Crying 3. shouting. Ni yupi kati ya hawa ungependa awe mwenzi wako?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

    Wanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mume wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe. Hana raha na ndoa Hana amani Mke anamnyima unyumba Mke mkorofi Mke anaongea sana Mke kachepuka na mengine mengi 99% ya wanaume wanapotongoza nje ya ndoa hizo ndio point...
  16. pet geo pet

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kichaga wanawapenda sana Wanaume wa Kisukuma

    Wakuu habari. Kwa elimu yangu hii nimesomea A. Level na chuo maeneo ya kasikazini ila katika uzoefu niliojionea uko uchagani sio siri wanaume wa kisukuma wanapendwa sana yaana ukimwambia kabila tu kuwa mimi ni msukuma hapohapo kashakupenda sijui kwanini. Swali langu kwa nyie wachaga mbona...
  17. msovero

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

    Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake. Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu. Kwakuwa uhitaji wa walimu...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Mama ameamua

  19. I

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wanakuwaga na akili gani? Wanawaza nini?

    Unakuta mwanamke anaolewa na mwanaume, ambaye amezaliwa akalelewa akasomeshwa na wazazi wake. Amekuwa pamoja na ndugu zake dada, kaka tangu akiwa mdogo. Halafu yeye anapoingia anataka yeye ndo am control huyu mwanaume. Yeye ndo awe bora kuliko wazazi wa mwanamme. Yeye ndo awe bora kuliko ndugu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Utendaji uliotukuka wa Dkt. Anna Makakala ukimpendeza Rais awateue wakuu wengine wa Majeshi yetu Wanawake

    Awamu iliyopita ilikuwa ngumu kiutawala na ilihitaji ujasiri kusimama na kubaki kwenye nafasi ya juu ya uteuzi. Dr. Anna Makakala Ni mmoja wa wanawake waliovumilia nakupambana kwa miaka mitano ya awamu hiyo bila kutumbuliwa. Kila ukiangalia picha za awamo ya tano utabaini alipokuwa Rais na huyu...
Back
Top Bottom