Hivi kwanini Wanawake wanampenda mtu lakini wanakuwa wagumu kwenye kutoa mbususu?

Brown Mduma

Senior Member
Sep 29, 2020
180
283
Kuna demu nimemtongoza akakubali fresh sasa hivi niko kwenye mahusiano naye mwezi wa Tatu huu lakini kwa kipindi chote hicho hataki kunipa mbususu anadai yeye ni BK na hiyo BK yake ni kwa ajili ya atakaekuja kumuoa.

Hiyo hali nimeivumilia nimechoka nimeamua kumpiga chini kila mtu ajue yake cha ajabu ananiambia nisimuache nimvumilie tu hadi ntakapo kuwa tayari kumuoa nitapewa Mzigo rasmi sema mimi kama mimi nimemuambia siwezi kuvumilia hadi kufikia huko nimempa yellow card nimeambia akijisikia sasa yuko tayar kunipa mbususu tutaendelea na mahusiano na kama hawezi basi asinijue.

Sasa swali linakuja, hivi kwanini Wanawake wengi wanampenda mtu ila kutoa mbususu hawataki au hawajui nini maana ya mahusiano?

1629700653804.png

 
Kupenda ni zaidi ya kufanya mapenzi. Yupo sahihi kabisa hajakosea kitu hadi hapo inaonesha lengo lako ni kumchezea tu.
Muoaji na mtu mwenye malengo na mwanamke angevumilia na kuheshem maamuzi ya mwenzake kwan katunza kitu ambacho kila mwanaume anatamani kukipata siku ya ndoa.

Kama issue ndogo kama hiyo umeshindwa kuivumilia je ndoa utaiweza kwel?
 
Kupenda ni zaidi ya kut*mb*n*. Yupo sahh kabisa ajakosea kitu had hapo inaonesha lengo lako ni kumchezea tu.
Muoaji na mtu mwenye malengo na mwanamke angevumilia na kuheshem maamuzi ya mwenzake kwan katunza kitu ambacho kila mwanaume anatamani kukipata siku ya ndoa.

Kama issue ndogo kama hiyo umeshindwa kuivumilia je ndoa utaiweza kwel?
Mkuu unaweza kuwa na mapenzi na mwanamke ad kuingia nae bila kutest mitambo
 
Naunga mkono hoja, Kama hataki kutoa mbususu piga chini bro, kwanza unaweza kuta anakukazia wew halaf kuna Jamaa anapewa simple tu.kiufupi this gender ni ngumu kujua inawaza nn
Nakubaliana na wewe mkuu....... Nishampiga chini sitaki ujinga mm nimeambia ukitaka Tuendelee uuache huo upuuz wa kusema kutoa mbususu ad kwenye ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom