Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
Heri ya mwaka mpya.

Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa dada zangu ingawa sio wote ila walio wengi. kwa wale wanaume maabaharia wanaelewa namaanisha nini ila kwa wale waaminifu kwenye mahusiano yao sio rahisi kuelewa.

Unakuta uko na mwanamke faragha kwa ajili ya shughuli moja tu ya kuvunja amri ya sita bila huruma, sasa unakuta mwanaume unajituma kumuandaa mwenzako lakini mwanamke yupo tu anakuvutia hisia yaani akijitahidi sana anaweza fanya vitu vitatu au viwili.

Yaani kushika ndizi hadi aone imesimama, au kukupa denda ila kama ni mtalaamu wa kula koni basi atajitutumua hapo akijua ndio kamaliza.. na wanawake huwa mnahisi ni nyie tu ndio wa kuandaliwa na sio nyie kumuandaa mwanaume....

Halafu mda wa tendo ndio kabisa, unakuta mwanamke yuko bize kukata mauno tu au kukutengea kama gogo na kuvuta shuka la tandiko.

Wewe mwanaume ndio ujihudumie mwenyewe note ni kwamba wanawake msikariri kwamba ni nyie tu ndio mfanyiwe romance na we pia hakikisha mwanzo mwisho unatoa ushirikiano wa kutosha
 
achana na hizo issue za kujitesa, we yafaa ukifika unaingiza unasugua ukimaliza unashuka unapumzika zikija tena unapanda unasugua ukimaliza unavaa zako unaondoka. hayo maswala ya kumwandaa acha mishikaki iandaliwe ila si yeye ka hajishughulishi
 
Mtoa mada uko sahihi kabisa. Ifikie wakati hawa ndugu zetu nao watambue fika jukumu la faragha ni la wote!

Haiwezekani jukumu la kumfikisha kilele cha mlima liachwe kwa mtu mmoja tu, huku yeye mwenyewe akijigeuza kuwa gogo la mti. Huu uzembe unachangia sana baadhi yetu kwenda kucheza mechi za ugenini.

Wanawake mnatakiwa mbadilike kwa kweli. Huu mwaka 2022 hatuta wavumilia hata kidogo. Tutachukua hatua stahiki.
 
Mtoa mada uko sahihi kabisa. Ifikie wakati hawa ndugu zetu nao watambue fika jukumu la faragha ni la wote!

Haiwezekani jukumu la kumfikisha kilele cha mlima liachwe kwa mwanaume tu! Huku upande wa pili ukijigeuza kuwa gogo la mti. Huu uzembe unachangia sana baadhi yetu kwenda kucheza mechi za ugenini.
Halafu tukitoka huko ugenini tunawaletea gono,kaswende,koona,jikimwi na kisonono😂
 
Halafu tukitoka huko ugenini tunawaletea gono,kaswende,koona,jikimwi na kisonono😂
😁😁 Itabidi wavumilie tu. Maana hakuna namna. Hawa viumbe wakishaingia ndani ya ndoa, huwa wanakuwa naa tabia ya kujisahau na kujiamini sana!

Yaani wengi wao huwa hawajishughulishi hata kidogo wawapo faragha na wenzi wao. Sijui huwa wanapeleka wapi hisia! Sijui ndiyo huko instagram....!! Maana muda wote unawakuta wako busy kuangaalia mikoba inayouzwa, viatu, kope za bandia, makucha ya bandia, nk.
 
Watu mnamengi ya kusema..😂

Kikubwa uhai tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom