Hivi kwanini wanawake wanampenda mwanaume anaepaka breach?

handsome boy wa jf

Senior Member
Joined
Jan 2, 2022
Posts
163
Reaction score
350
Daaah aisee hapa mtaani kwetu kuna jamaangu mmoja tozi sana anapenda kupaka breach jamaa anawala mademu sana kila kukicha bila kuwapa hela kuna demu mmoja ni rafk angu aliniambia dah yule jamaako nazipenda sana nywele zake nikamwambia duh akasema ndio maana nasikia anakimbiza mtaa mzima sisi wanawake tunapenda wanaume watanashati wanaopaka breach.

Hivi kwann wanawake wanapenda wanaume wanaopaka breach kichwani?
 
Amekwambia mwanaume " watanashati" si kupaka bleach. Bleach ni additional tu, ila utana shati una mambo mengi
 
Daaah aisee hapa mtaani kwetu kuna jamaangu mmoja tozi sana anapenda kupaka breach jamaa anawala mademu sana kila kukicha bila kuwapa hela kuna demu mmoja ni rafk angu aliniambia dah yule jamaako nazipenda sana nywele zake nikamwambia duh akasema ndio maana nasikia anakimbiza mtaa mzima sisi wanawake tunapenda wanaume watanashati wanaopaka breach.

Hivi kwann wanawake wanapenda wanaume wanaopaka breach kichwani?
Mimi mwanaume anayeweka bleach hapana nadhani ni huyo mwanamke tu sio wanawake wote wanapenda.
 
Kama kweli wewe NI handsome tuwekee picha yako
Hii hapa
IMG-20211228-WA0031.jpg
 
T
Daaah aisee hapa mtaani kwetu kuna jamaangu mmoja tozi sana anapenda kupaka breach jamaa anawala mademu sana kila kukicha bila kuwapa hela kuna demu mmoja ni rafk angu aliniambia dah yule jamaako nazipenda sana nywele zake nikamwambia duh akasema ndio maana nasikia anakimbiza mtaa mzima sisi wanawake tunapenda wanaume watanashati wanaopaka breach.

Hivi kwann wanawake wanapenda wanaume wanaopaka breach kichwani?
Mara breach mara hela wanawake tuchukue lipi .....Tutafika kwa baba mbinguni tumetota😁
 
Back
Top Bottom