wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake washaurini(kuwasaidia) binti zenu kutafuta mume kuanzia wakiwa miaka 17-25

    Ramadhan Kareem! Dada zangu, wadogo zangu wakike, pamoja na kina Mama, elimu hii ni muhimu Sana. Dunia ya sasa imefikia pagumu Sana, hasa kwenye kipengele cha ndoa. Kuweni karibu na binti zenu, wafanyeni marafiki, wafanyeni wawaamini, hakikisha Kama mzazi unamaarifa ya kutosha kumshauri binti...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ameamua kuja na staili tofauti...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu chanzo na dalili za ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis)

    UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS) Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu...
  4. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanao "date" na wanawake waliowazidi umri, wengi wao walikosa mapenzi ya mama

    Wale wanaume wanaopenda kudate wanawake waliowazidi umri wengi wao walikosa mapenzi ya mama zao tangu wakiwa wadogo mpaka wamekua. Kukosa mapenzi ya mama zao kunawafanya watafute wanawake wakubwa kiumri zaidi yao. Wanahisi wanawake hao watawalea kama mama zao. Na ndio inavokua mara nyingi...
  5. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Huu ni ukweli kuhusu Wanawake

    Habari wana jf poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Leo katika pitapita zangu nimekutana na hivi vitu nikaona bora na nyie niwashirikishe maana vizuri kula na mwenzako 1. Mwanamke anapokasirika, zaidi ya nusu ya mambo anayoongea anakuwa hajamaanisha. 2. Wakati mgumu kabisa kwa mwanamke ni...
  6. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawapendi kugharamia huduma. Wanapenda dezo dezo. Na wala wasilaumiwe ndio asili yao

    Wasalaam, Wanawake wengi haijalishi ana kipato kiasi gani kwa ujumla wao hawapendi kulipia huduma mbali mbali wanazopata. Na hapa wala tusiwalaumu kwasababu kiasili mwanamke hakuumbwa kutoa bali kupokea. Mwanamke ameumbwa kuhudumiwa (hapa wanawake watashangilia sana kama kawaida zao wakisikia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Ligi Kuu Bara, Championship, Ligi ya Zanzibar, Ligi ya Wanawake

    Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake. Chanzo: Mwanaspoti
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake bia ngumu wanakunywa, usiwalegezee wanakuona boya

    Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga. Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe nakunywa Plisna Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick...
  10. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Umegundua kuwa wanawake ambao ni wife material hawako romantic?

    Habari Wakuu Hivi umegundua kwanza wanawake ambayo ni wife material hawako romantic kabisa yaani ata kukuita darling, my love ni ishu yaani[emoji23][emoji23]. Na wana aibu hao ata mkiwa kwenye kitanda mara nyingi wanafunga macho hawapendi kuiangalia kabisa wala kuishika[emoji23][emoji23] na...
  11. nyboma

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

    Wanawake wengi wanaojiuza (wasimbe) wanajificha katika kivuli cha uanafunzi, wiki kadhaa zilizopita nilipata dharula nikawa nahitajika Dar es Salaam. Baada ya kumaliza kazi zangu nikaamua kusogea katika moja ya migahawa mikubwa tu hapa katika wilaya ya Kinondoni na ndipo nikabahatika kukaa na...
  12. dormant accont

    JamiiForums Tanzania Feminists wote duniani ni wanawake wanaotumika kisiasa

    Nasema hivi baada ya kuona nafasi za wanawake zinapokonywa na USA na nafasi hizo wanakabidhiwa wanaume waliokata uume huku feminists wanaokuwaga mstari wa mbele kwenye kila nchi kupigania usawa wa kijinsia wakiwa kimya. Mwaka huu 2022, gazeti la USA today lilimtaja mwanaume aliyekatwa uume...
  13. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Man V/s Women mpaka sasa Wanaongoza 3-0

    Nikiunganisha matukio ya hivi karibuni; Zuchu Zumarid Na Huyu wa Mrema. Mpaka sasa Mans tutaishia kupiga makelele tu mitandaoni ila kiukweli Tufanye sana Ibada hawa watu hatuwawezi,Ukikosekana wewe Mshukuru Mungu ujue kuna mwenzio huko kapatikana!
  14. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa kiarabu na kisomali wananuka miguu

    Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉 Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha. Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanawake wanaowasingizia kesi za ubakaji waume zao wanapata adhabu gani?

    Habarini, mifano ni mingi tu. Ni vizuri na ni jambo la kheri kumuwezesha mwanamke, yaani kumpa nguvu dhidi ya uonevu wa wanaume. Si malengo ya mtoaji nguvu kwa wao kuzitumia kuumiza na kutesa wasio na hatia. Hivi je, ikigundulika mume aliyefanyiwa vigisu za ubakaji na mkewe na akafungwa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Habari wanajf wenzangu Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu. Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

    Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben. Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho. Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani. Binafsi sivutiwi na...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Abubakary Sadick wa Radio One: Wanawake mnaopenda Pesa zificheni huko 'Kunako' Kwenu tuone kama zitakidhi Haja zenu za Kitandani

    Akizungumza katika Kipindi kizuri, kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho Mtangazaji Mwandamizi Abubakary Sadick ametupa Dongo la aina yake kwa...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunatembea na wanawake kwa sababu mbili, Ngono na mapenzi

    Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke. Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa. Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

    Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
Back
Top Bottom